Tunatoa huduma ya Massage, tupo Kinondoni Morocco

Tunatoa huduma ya Massage, tupo Kinondoni Morocco

Nimeielewa hii huduma,naomba picha PM ya wahudumu wawili,nichague moja.weekend nije
 
Watanzania bhana wenzenu wanafanya kiprofessional nyie mnafanya kichangudoa,

We have a long way to go?

Boost your Immune System to fight a Covid-19.
Kuna jinai yoyote katika iyo biashara wanayofanya??mi huwa sioni tatizo lolote as long as hakuna jinai
 
Bei ni rafiki kabisa chief . ni shilingi za kitanzania 40,000 tu ukija ofisini , nje ya ofisi ni 60,000 tu . Mwisho mwema ofisi kama ofisi hatuutambui na hautaulipia, ila ofisi pia haitaingilia wala kuhoji mambo yatakayofanyika ndani ya chumba walipo watu wazima wawili

Sent using Jamii Forums mobile app
imekaa vuzuri hii, vipi wahudumu wapo tiyari kupima HIV
 
So simply ni "danguro in disguise" right?
sidhani , hapo wewe muhitaji huduma ndio utaamua mwenyewe iwe danguro ama la maana sidhani kama wewe mwanaume utalazimishwa kufanya zaidi ya huduma inayotolewa official
 
Ndio maana nikamwambia hawafanyi ki professional sababu hii ni huduma muhimu sana ila imegeuzwa kua danguro...
You have to dance according to the tune. Soko la huduma za massage Tanzania linadictate hivyo Mkuu.

Ukiweka hizo restriction hata watumishi utawakosa wa kufanya shughuli hizo, hata nature ya wateja, majority, wako hivyo.

Kwangu naona mtoa tangazo is absolutely right.

Keep it up Mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
You have to dance according to the tune. Soko la huduma za massage Tanzania linadictate hivyo Mkuu...
Kua Watanzania wanapenda uzinzi eeeh,
Okay sikua najua,
kweli mtoa mada yupo absolutely right,

Clap Clap

Boost your Immune System to fight a Covid-19.
 
Bei ni rafiki kabisa chief . ni shilingi za kitanzania 40,000 tu ukija ofisini , nje ya ofisi ni 60,000 tu . Mwisho mwema ofisi kama ofisi hatuutambui na hautaulipia, ila ofisi pia haitaingilia wala kuhoji mambo yatakayofanyika ndani ya chumba walipo watu wazima wawili

Sent using Jamii Forums mobile app

Unamanisha kuwa Zile masaji hadi kwenye mpododo ?? Unataka nifanya nije dsm mara moja kabla ofisi zetu hazifunguliwa.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom