Tunafuata taratibu zote tunazoshauriwa na wataalamu wa afya ikiwemo kunawa mikono na maji tiririka na sabuni au vitakasa mikono pia tutakupima joto mwiliVipi mmejikingaje nyie wenyewe(watoa service) na mnawakingaje wateja wenu wkt huu wa covid-19?
Karibu PMNipo serious naomba kutumiwa inbox
Asante kwa maoni ila si vyema kudharau kazi ya mwenzako ambayo ni halaliWatanzania bhana wenzenu wanafanya kiprofessional nyie mnafanya kichangudoa,
We have a long way to go?
Boost your Immune System to fight a Covid-19.
Watanzania bhana wenzenu wanafanya kiprofessional nyie mnafanya kichangudoa,
We have a long way to go?
Boost your Immune System to fight a Covid-19.
nyama kidogo how?Hii ni aina flani ya massage ya kijapan inafanana na body to body ila imeongezewa nyama kidogo
Sent using Jamii Forums mobile app
Hebu weka na me kwanza then uje utukaribishe tena.karibu chief Mimi nina majukumu mengine kwa upande wa usimamizi nimemuachia KE na kwa kuanzia watoa huduma ni KE wote , nikiangalia upepo umekaaje nitaweka ME pia
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeku PM mkuu nasubiri mrejeshoAsante kwa maoni ila si vyema kudharau kazi ya mwenzako ambayo ni halali
😅😅😅😅ila watu[emoji23]mtoa masaji anaitwa SHOKO SHUGI
Enzi za rufufu, shoko shugi aliua ninja wengi Sana[emoji1787][emoji1787]
NAOGOPA KUFA MIMI[emoji85]
Sent using Jamii Forums mobile app
Inahusu Massage yenye warembo lainii na wasafi.Kuna kipi Bongo kimewahi kufanyika ki-professional?
Kama kwenye afya tu unapima mapapai, data unazilalia.
Kila siku tunaambiwa uchumi unakua kwa 7%, tukiomba data za uthibitisho hatupewi.
Tunaambiwa elimu bure, ila ukifatilia unakuta chumba kimoja cha darasa kina watoto 150 na zaidi.
Mapato yanatangazwa hewa.
Ngoja kwanza, hii thread inahusu nini?
Ndio maana nikamwambia hawafanyi ki professional sababu hii ni huduma muhimu sana ila imegeuzwa kua danguro,To be serious....
Hizi huduma hapa nchini kwetu zimechelewa Sana.
Na zimekua zikifanywa bila promo utadhani Ni biashara haramu.
Wakati,
-Watu kibao mtaani wanamisongo ya mawazo-wanahitaji MEDITATION MASSAGE
-Watu kibao Muhimbili wanasumbuliwa na maumivu ya uti wa mgongo- CHINESE MASSAGGE
-watu Kibao wana upweke, wanahitaji mafuta ya mzeitun wapakwe
Sent using Jamii Forums mobile app
Mna wadada wa kisomali hapo au Ethiopia ?Kwa utashi wangu nimeona si vyema nikawaanika hapa jukwaani, kwa mtu aliye serious atatumiwa picha
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Mamamaee
#Happy Ending haina mjadala kimpango wenu, Maisha yamefungwa engine ya 4gr yanakwend kasi
Anzisha ya kwako uifanye kiprofessional.Ndio maana nikamwambia hawafanyi ki professional sababu hii ni huduma muhimu sana ila imegeuzwa kua danguro,
Wewe ona mtu anasema kaweka warembo wasafi, miili laini, mara tena ukitaka huduma ya blah blah ni nyie wenyewe chumban watu wazima yaan uzinzi uzinzi tu,
Wakati kama yeye ni boss alitakiwa akataze kabisa hayo maushenzi, kama wamependana basi wakamalizane nje ya kazi na sio hapo chumbani, alipaswa awalinde wafanyakazi wake kwa kuwaambia wateja wake kua hawaruhusiwi kuwashika wala kuongeleshana kwa maana ya stories,
Kaa kimya, relax enjoy a good massage.
Boost your Immune System to fight a Covid-19.