Tunasubiri Nchi Wahisani Waje WATUAMURU Hatua za Kuchukua Kwenye Wizi?

Huo wizi uko wapi, mnabwabwaja na kuhororoja wakati hakuna mahali panapoonesha pameibiwa.

Mlitaka umeme wa bure?
Duh! Yani bunge lote lililoisha ww hukuelewa chochote, ndo maana wanasema kunatofauti kati ya mjinga na mpumbavu!!, alafu picha yako kwa mbali naona kama mzuka, anafanya nn apo
 
Wewe wacha porojo, fedha za IPTL zilikuwa zinapelkwa account ya escrow kuanzia mwaka 2004 na msimamizi wa shughuli hizo wakati wa mgogoro wa IPTL na TANESCO alikuwa ni RITA, sijuwi ni nini usichokielewa hapo?
Mimi ni Mfafanyakazi wa stanbic. nikuwekee picha hapa uone tulivyobeba pesa kwenye viloba toka benki hii kwenda kulipia huo umeme?
 
Wewe msemaji wa PAC?

kwani mi nimezungumzia mambo ya PAC? wewe umekuja hapa jf unaikataa ripoti ya PAC kwa kusema kwamba pesa hazijaibwa, wakati ripoti ya takukuru, CAG na PAC zinaonyesha upotevu wa pesa za umma na ripoti zote 3 zipo ikulu hadi sasa na mkuu wa ikulu kanyamaza kimya wewe unaibuka na kusema hela hazijaibwa "who are you" na unaripoti kutoka lumumba haya twambie lumumba ndo ikulu ya hii nchi au mwenzetu uko karibu na raisi siri zote unazifahamu?

vijana wa lumumba mmeharibikiwa kabisa na sijui kama mtapona, so much adicted
 
Mimi si kijana, shika adabu yako, mimi mkubwa kuliko mama'ko.

Sasa wewe unaongelea ripoti bomu ya PAC hivi imekuingia akilini? ripoti ya CAG umeiona?
 
Mimi ni Mfafanyakazi wa stanbic. nikuwekee picha hapa uone tulivyobeba pesa kwenye viloba toka benki hii kwenda kulipia huo umeme?

Niwekee picha ya waliotajwa kwenye ripoti ya PAC wakibeba viroba vya pesa, au utaleta ile picha duka ya Chenge? kwi kwi kwi teh teh teh.

Mimi binafsi kila mara huwa naenda kubeba pesa kwenye viroba, hilo wala sio tatizo.

Tatizo na swali ni, Jee, mlitaka umeme wa bure?
 
Duh! Yani bunge lote lililoisha ww hukuelewa chochote, ndo maana wanasema kunatofauti kati ya mjinga na mpumbavu!!, alafu picha yako kwa mbali naona kama mzuka, anafanya nn apo

Naona bunge hukulisikiliza vizuri mpaka dakika ya mwisho, Waziri Mkuu anafunga bunge anasema ufanyike uchunguzi wa kina.

Mzee Warioba (siyo bungeni) ameuliza, hivi pesa za Serikali au za Umma kwanini zikae kwenye akaunti ya escrow?

hapo sasa!
 
Mimi si kijana, shika adabu yako, mimi mkubwa kuliko mama'ko.

Sasa wewe unaongelea ripoti bomu ya PAC hivi imekuingia akilini? ripoti ya CAG umeiona?

swala la wewe kuwa mkubwa kuliko mama yangu sio hoja na wala mimi hainihusu, mawazo na hoja zako ziashirie utu uzima wako kuna vijana tu wadogo lakini akili, uelewa, busara zao ni zaidi ya mtu mzima, tunao maprofesa wangapi, mfano mzuri ni hao unaowatetea, na wengine kibao wa chama chako lakini angalia mchango wao kwa taifa hovyo kabsa ni hasara tupu, angalia na wewe usije ukawa mmoja wao kwa sbb tu ya ushabiki wa chama.

Kama ripoti ya PAC ni bomu mwambie m/kiti wako aitolee maamuzi basi mbona wamekaa kimya ilhali misaada imesitishwa na wahisani unataka kuniambia wafadhili ni wajinga kuliko nyie
 
Huo wizi uko wapi, mnabwabwaja na kuhororoja wakati hakuna mahali panapoonesha pameibiwa.

Mlitaka umeme wa bure?
Lakini si umemsikia Mwigulu? Au.hujamsikia na au ulivyomsikia anaudanganya umma?

Labda kila mmoja anayake ndani ya chama?
 
Mwigulu nimemsikia alisema bungeni waliopokea fedha walipie kodi, sasa jiulize, fedha za haramu zinalipiwa kodi?
 
Mwigulu nimemsikia alisema bungeni walipokea fedha walipie kodi, sasa jiulize, fedha za haramu zinalipiwa kodi?

FF, siyo bungeni! Kwenye mkutano ulioonyeshwa ITV wa kule Karatu. Katumia WEZI wote wa Escrow hatua zitachukuliwa na kamwe wezi binafs hawawez kukipaka matope chama! Tena akauliza wananchi " Mwenyekiti wa serikali za mitaa ni Waziri wa Wizara ya nishat na madini"!

Nikakuuliza mbona munapishana kauli ndani ya chama? Tena wakati anayasema hayo alisema yeye ni moja ya top ndani ya CCM na hivyo wale wote waliohusika na Escrow hatua kali zitachukuluwa
 
Sasa ulitaka aseme nini? si mpaka awepo huyo mwizi.
 
Back
Top Bottom