Scale
JF-Expert Member
- Apr 6, 2014
- 2,086
- 2,547
Mkuu nadhani huyu FF ni yule mbunge mmama mwalimu wa msingi anayesema kamati ya Zitto PAC ni ya wapinzani kavaa mipete kama mganga wa kienyeji
Kwa CCM hata ukiwa taahira unapewa ubunge! Yule Mama, Lusinde na Chombo kuna nuts zimamiss vichwani mwao!