Logikos
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 12,456
- 19,477
Upigaji, Uzembe, Kutokuwa na Transparency na watu Kutokupewa Target (Results Oriented)..., Hii ni Culture / Utamaduni..., mazoea ya hovyo...Sasaivi serikali imetunga sheria kwa makampuni yote ya mawasiliano kununua intanet kupitia mkongo wao wa Taifa (Ttcl),hapo wanunuaji ni hao Tigo,voda,airtel na halotel n.k lakini hapohapo hayo makampuni yanayonunua net ttcl yanapata faida na pia wanatoa ofa nyingi kwa wateja,lakini najiuliza inakuwaje kwa shirika lenyewe Ttcl kutopata faida na pia huduma zao kuwa dhaifu
Hapo issue ni kubadilisha organisational culture na watu kubadilika ila tunapoelekea ajira zinaanza kuwa chache na wengine wengi wapo bench hali inaweza kubadilika, watu wataacha kuchezea kazi wakijua kwamba kupata kazi ni kazi.... Kipindi cha ukiharibu hapa unaamishiwa kule kitakwisha...
Kwahio in short kwenye haya mashirika ya UMMA we need transparency