Francis fares Maro
JF-Expert Member
- Jun 20, 2021
- 1,227
- 1,339
Rafiki yangu Mimi nasema tunaidai Tanesco wewe ukatae ukubali haitafuta Deni hili!!...Sio kweli mzee ,wazalishaji walikua wengi kama IPTL ,Aggreko symbion nk na bado Bei zilikua juu Tanesco aliuziwa umeme kwa bei za kitaahira wakati yeye aliuuza kwa hasara,
Wote tuliona tulivokua tunalipia adi Capacity Charges kwenye kila unit ya umeme tunayonunua mzee usilete siasa kwenye hili ata kama akitajwa JPM unasikia kichefuchefu naona kwako ni kutajwa kwake Ndio tatizo,it’s okay hata sie tulitofautiana nae mitazamo kwenye baadhi ya mambo ikiwemo Korosho,ila alipopatia tutasema ata kama ni ukweli mchungu!
Mfano alitoa umeme Gas Unit inauzwa sio chini ya tsh 140 ,wa mafuta unauzwa hadi tsh 400,hivyo hivyo kwenye vyanzo vingine kama upepo,nuclear nk ukilinganisha na umeme wa maji ambapo unit inauzwa kuanzia tsh 50/60
Sasa kwanini usipongeze kwa vyanzo kama Bwawa la Nyerere ,(Stieglers Gorge) ?
Umekomaa tu Tanesco ina madeni ya Toka sijui mwaka 1990 kwa iyo iuzwe!
Kwa iyo Tuuze hadi nchi eti tu sababu ina madeni ya toka mwaka 1970 !?
Una sahau kuwa madeni mengi ya Tanesco na nchi yetu ya natokana tu mikataba mibovu isiyo na tija Na usimamizi mbovu wa rasilimali zetu !?
Kwako wewe solutions ni kuuza ????
Mzee we don’t buy hizo sounds zenu No Thank You !