Tunaposhangilia ushindi tuwe na staha

Mi sijakuelewa quotetion yako.
ila utakavyoelewa wewe ndo ivyoivyo bwashee.

Quote ile inatokana na neno "akuna" ulilotumia. Maneno kama hilo wengine pia kutumia "apana", "amna", "apa badala ya hapa" nk.

Tunapojadiliana mambo ya msingi ni muhimu tuonane macho kwa macho kuwa jukwaa la kina Mr. Delicious siyo hili.
 
Mabibi na mabwana hayo ni maneno ya watu wenye hekima zao. Tushangilie kwa staha. Tusiwakere wengine.

View attachment 1615777

View attachment 1615778

Japo ka sare sare maua, lakini bado ushauri upo kuntu.

Tuzingatie.
Wanao uhuru wa kushangilia Mkuu na washangilie tu maana ukiona jimbo kama Kawe, Nyamagana au Kigamboni yanachukua siku mbili kutangaza mshindi ni kituko cha nec
 
wafuasi wa chama kilichoshinda hawashangilii mpaka wafuasi wa chama kilichoshindwa wanashangaa.
 
Wanao uhuru wa kushangilia Mkuu na washangilie tu maana ukiona jimbo kama Kawe, Nyamagana au Kigamboni yanachukua siku mbili kutangaza mshindi ni kituko cha nec

Kama ulivyoona mkuu hayo siyo maneno yangu bali yao wenyewe wakipeana usia.

Tambua pia kuwa kupenyeza uzi imekuwa ngumu mno. Hii pamoja na kuzielewa changamoto zinazowakabili MODs.

Ni kweli tuwaache washangilie. Ila mwungwana wao yule alimaanisha alichosema. Hamkani si shwari.
 
Wanachama tunashangilia na tunatosha. Wafuasi hawatuhusu sana. Kwanza wafuasi huwa hawapigi kura

Wewe na bashiri au Hussein Mwinyi nani mwanachama kindaki ndaki zaidi? Hao hawashangilii.

Wewe unashangilia kimoyo moyo tokea pande za wapi?
 
watuachie basi mbn walishashinda
Wanajua tunajua hawakushinda bali wamekwiba. Hawana uhakika kama tutaridhia. Tunduma, kigoma, Pemba, newala kumesikika.

Rai, kushangilia kwa staha = funikeni kombe jamani

Hiyo ndiyo habari yenyewe.
 
Back
Top Bottom