Tunaposhangilia ushindi tuwe na staha

Wasijidanganye: aliyeyatambua ya kimya kingi hakuona karibu.

Aliyeitisha washangilie kwa staha hali kadhalika hakuona karibu.

Wote hao waliiona kesho ilivyo nyeusi na hata bundi alivyotung'ang'ania.
 
Wewe unalala nao kujua kuwa wanashangilia?

Kweli mburula ni mburula tu. Tumekusikia Mr. Delicious.
Mie sikutaja mtu niliposema wanachama tumeshangilia. Wewe umetaja majina kabisa. Inaonyesha jinsi gani wewe na wenzio mlivyo na akili finyu. Hata kampeni zenu mlikuwa mnataja majina. Mtu mwenye akili timamu hawezi kutaja jina la mtu kama hana ushahidi.
 
Hizi ni zenu?

Mtakuwa na matatizo ya akili, si bure.

Wenye akili ndiyo nyie? Si tu kuwa mna akili finyu bali hata finyu nazo hamna.
 
Eti CCM bila Aibu bila huruma bila kumuogopa mungu wanashangilia ushindi batili wa uchakachuaji kuiba kura kwa njia haramu za kishetani
 
Eti CCM bila Aibu bila huruma bila kumuogopa mungu wanashangilia ushindi batili wa uchakachuaji kuiba kura kwa njia haramu za kishetani

Wameshauriana kushangilia kwa staha eti wasije kuwa chanzo cha kuliamsha dude zaidi.
 
Back
Top Bottom