Yanaweza kuwa yamenikuta au nimeshuhudia mendi sana......Nakubaliana na wewe kwa kuwa you are entitled to your opinion and besides sijui yamekukuta yepi but ninapenda kukuhakikishia kuwa sio wanawake wote wako hivyo. MJ1 anawezakuwa yuko after money, kila saa anawaza mapene but utakuta Mamndenyi au Smile au King'asti wana mapenzi ya kweli ambayo pesa haina nafasi (pengine wao ndo wenye nazo sana kiasi cha kuwa ndio wahongao)
I dont think if its a good idea
sex should be spontaneous,mapenzi yananoga zaidi kukiwa hakuna ratiba za maalum bana
we siku una ham halafu unakutana na ratiba....
Inanishangaza kuwekeana ratiba kwenye mambo ya ndoa. pia huyo dada-rafiki ana lake jambo analolitaka kutoka kwako anakutafutia target tu unase ili akupe uday worker kutokana na kusymphathetic feeling kwake.kuna problem pande zote mbili. jichunge
Unayosema hapa yapo lakini kwa kiwango kidogo sanaEiyer unajua hata wasiokuwa na pesa wanakero zao, tena zinaudhi zaidi bora mwenye pesa atakutuliza kwa kukutoa dinner.Jamaa anawaza lini atapata pesa na malalamiko kila kuchao achilia mbali inferiority complex kwamba anaweza kunyang'anywa mpenzi na wenye nazo.
Mmmh kazi kweli kweli mapenzi ya ratiba hebu niendelee kusoma comments pengine kuna waliofanikiwa ktk hili. Kama ulivyouliza ratiba inafaa au haifai jibu langu ni HAIFAI lkn kwa aliyepanga pengine yeye anazo sababu zilizomfanya aamue kupanga ratiba. Ushauri wangu kwa bidada amuulize mumewe ratiba kulikoni na kwenye majadiliano anaweza kutoa mtazamo wake ktk hili. Na kama bwana mkubwa akisisitiza ratiba basi akubali kuifuata , si vizuri kupinga kabla ya kujaribu so amwambie wafanye majaribio ikiwekiauti basi waendelee nayo.
Afanaleki!!!!!!
labda ana wake wawili maana si bure kupangiana hiyo chakula
Sabalkheri
Heaven on earth naomba uniambie, 'cha asubuhi' umekijulia wapi, ina maana unalala na mwanaume hadi asubuhi SIKU HIZI?:lying::lying:
Heaven on earth naomba uniambie, 'cha asubuhi' umekijulia wapi, ina maana unalala na mwanaume hadi asubuhi SIKU HIZI?:lying::lying:
Ha ha haaa Mount Kibo
si umeniacha hoi na kicheko full daaah,
Hata mie sikuweza kuhimili japo ni jinsia tofauti ya weye;
Niliona ni namna mojawapo wa kunyimwa haki yangu
......... so why not isikuwepo kabisa ikajulikana moja kwa moja.
Tafadhali naomba usinitaje wala kunihusisha hapo pa kimaande(Nyekundu) kwani madhara ya ke ni makubwa ..eti isiwepo kha! ..warumu gani kakudanganya isipokuwepo wewe utaishije au ndo unahalalisha ujenzi wa nyumba ya kando!Ni bora iwepo hata kama ni ile tia maji tia maji au kwa maneno ingine heri nusu shari kuliko shari kamili...anything is better than nothin at all.