Tunapomlilia Dr Mengi tusisahau kuwa tuna tajiri mwingine mwenye moyo wa kutoa mzee Rugemalira wa IPTL

Ruge alimpa Tibaijuka, Kilaini na wahaya matapeli wenzie. Maskini gani alipewa hapo?! Maweeeew mwafuwa muacheni tuu anyee debe Muhaya mjinga.
Mkuu Fisi, ukiwa na fedha zako halali kwa kufanya biashara halali, uko huru kumpa yoyote kwa sababu yoyote au bila sababu yoyote na ukawa hujavunja sheria yoyote.

Kutukana watu humu jf bila kosa lolote kuwaita watu matapeli na wengine ni viongozi wetu wa dini, kumtukana mtu kuwa ni Mhaya mjinga sio kumtendea haki, sio kuwatendea haki Wahaya, unajisababishia mikosi na ma balaa ya karma bila kujijua.

Take time kujielimisha kuhusu escrow kwa ku soma nyuzi hizi

.



P
 
Yule Mzee wangemuachia maana wale wenye maamuzi walioidhinisha fedha za tozo za IPTL hawakuguswa wanakula kuku kwa murija.Kumutoa mzee huyu kama kafara ya kukomesha ufisadi Tanzania hapo ni shida na kudanganyana
 
Back
Top Bottom