Tunapomlilia Dr Mengi tusisahau kuwa tuna tajiri mwingine mwenye moyo wa kutoa mzee Rugemalira wa IPTL

Mkuu, Mzee Rugemalira hakuwahi kuwa IPTL. Unapotaka kuandika jambo humu kulimosheheni wajuzi, werevu na wabobezi uwe unatafiti angalau kidogo. Punguza roporopo hata kwa mambo usiyoyajua. Usipoandika humu JF hautadhurika na posho yako ipo kama kawaida. Pathetic!
Umekosea sana.
Rejea VIP Engineering, IPTL na TANESCO.
Kwa taarifa yako Ruge ndio alisaini kwa niaba ya IPTL mkataba wa kuuziana umeme kati ya TANESCO na IPTL.
Ruge kaendesha kesi kadhaa kubwa kati ya IPTL na TANESCO kwenye arbitration ICSID.
Na Ruge ndie alimleta Singh (PAP) IPTL na ikapigwa pesa ya ESCROW.
Record ziko humu humu JF.
 
Well said.

Kwako Wakili msomi.. Bwana Petro!
 
Umekosea sana.
Rejea VIP Engineering, IPTL na TANESCO.
Kwa taarifa yako Ruge ndio alisaini kwa niaba ya IPTL mkataba wa kuuziana umeme kati ya TANESCO na IPTL.
Ruge kaendesha kesi kadhaa kubwa kati ya IPTL na TANESCO kwenye arbitration ICSID.
Na Ruge ndie alimleta Singh (PAP) IPTL na ikapigwa pesa ya ESCROW.
Record ziko humu humu JF.
Ruge alikuwa wa kampuni ya VIP na si IPTL. VIP na IPTL walikutanishwa na Escrow.
 
Huyu alikuwa anagawa hela kwa makada wa chama kubwa na wachungaji..

Makada wamemgeuka kama hawamjui vile na wachungaji hata hawatuwasikii wakifanya misa za kumuombea.
 
Alitaka kujimilikisha heineken Massawe kamtoa ushuzi kakimbilia Windhoek msaada wake saana ni promotion ya bia.zaidi ni kwa ndg zake niwemugizi,tibaijuka na mzee wa vijisenti.
Massawe A.M?
 
ruge alitoa kwa matajiri na mabwanyenye , mengi alitoa na akawa mfereji kwa wanyonge na maskini.
Anapopata tajiri nawe maskini utapata kupitia mishahara na marupurupu katika makampun na miradi ya hao matajiri...Tajiri akikosa madhara yake ndo tunayoyaona sasa...uchumi unadorora,vijana wanapunguzwa makazini, ajira hakuna, mengine utaongeza mwenyewe
 
Hii ni katika kukumbushana tu.

Rip Dr Mengi

Be blessed mzee Rugemalira!
Rugemalira mkabila yule. Huwezi linganisha na Mengi. Za Rugemalira walifaidi mkombozi bank,Tibaijuka,wahaya wenye majina wengi including mapadri.
 
Una uhakika?
Labda haumfahamu vzr
Mzee Rugemalila alikuwa anajenga hospital ya moyo bukoba?
Nyie wasukuma mkaona ni vibaya sana mhaya kuwa tajiri...kwakua huko nyuma mlikua wafanyakazi wao (wapakasi)
 
Back
Top Bottom