Tunapomlilia Dr Mengi tusisahau kuwa tuna tajiri mwingine mwenye moyo wa kutoa mzee Rugemalira wa IPTL

Asante kutukumbushia
Rugemalira tulimuombea na kumfungia Novena lakini haikusaidia kitu kwa sababu...
Pia ana nguvu.
P
Paskal hapa sijaelewa kidogo….kwani Rugemalira kaonewa kuwekwa ndani au hakuhusika na kashfa ya Escrow? Kama alihusika na yeye ni muharifu hii ya kumuombea ina mantiki gani? Katika historia ya nchi yetu sina kumbu kumbu ya kashfa ya kuiba pesa nyingi kama ya Escrow kama nimekosea niko tayari kuelimishwa hapo. Sasa hao wahusika leo tuwaombee mema kwa hayo waliyoyafanya. Inanichanganya kidogo hii…!!!!
 
rugemalira.. jirani na anapoishi makongo juu kuna shule za kata kibao zimemzunguka.. zina changamoto nyingi hazina vitabu, computer, madawati etc... ila eti anachangia shule binafsi ya kishua na ya private babro johnson ya mhaya mwenzake tibaijuka bilioni 1.6...

hapo tu mtu mwenye akili anajiuliza maswali... huyu ni mtoa rushwa au mtoa mchango
 
waliobakia wanawapa hela akina Manaaria na akina kageera tu pesa zao hawazipeleke kwenye jamii wanatafutia sifa kwenye michezo
 
Paskal hapa sijaelewa kidogo….kwani Rugemalira kaonewa kuwekwa ndani au hakuhusika na kashfa ya Escrow? Kama alihusika na yeye ni muharifu hii ya kumuombea ina mantiki gani? Katika historia ya nchi yetu sina kumbu kumbu ya kashfa ya kuiba pesa nyingi kama ya Escrow kama nimekosea niko tayari kuelimishwa hapo. Sasa hao wahusika leo tuwaombee mema kwa hayo waliyoyafanya. Inanichanganya kidogo hii…!!!!
Mkuu Dunyua Rugemalira hana kosa lolote,
1. Yeye ndiye mmiliki wa eneo ilipo IPTL hivyo akapewa 30% shares.
2. IPTL ikauzwa akalipwa malipo halali ya shares zake.
3. Akalipia kodi husika TRA kisha akagawa pesa kwa aliowagawia.
4. Hakuna kosa lolote kuuza mali zako
halali kwa bei yoyote.
5. Hakuna kosa lolote kugawa fedha zako kiasi chochote kwa mtu yoyote.

If you have time soma nyuzi hizi

.

P.
Nimekusoma Mkuu mbona hii inazua maswali mengi kuliko majibu…??!!! Au ni kati ya yale ya kukaa kimya ukitaka usalama wako?!. Inanisumbua sana nafsi…..
 
Mkuu, Mzee Rugemalira hakuwahi kuwa IPTL. Unapotaka kuandika jambo humu kulimosheheni wajuzi, werevu na wabobezi uwe unatafiti angalau kidogo. Punguza roporopo hata kwa mambo usiyoyajua. Usipoandika humu JF hautadhurika na posho yako ipo kama kawaida. Pathetic!
ila alichota zile pesa mingi ambazo mama etu alisema za mboga
 
Kuna maswali gani?. Mbona nimekujibu kila kitu.
P
Pascal nashukuru kunitumia zile nyuzi zilizopita nimezipitia kujua hili sakata la Escrow Zaidi. Maswali yaliyoibuka kwangu haswa najiuliza kama Rugemalira hana kosa inakuwaje yuko ndani mpaka sasa?? Kosa lake nini!? Lingine linalonitia wasiwasi kuhusu huu ugawaji wa pesa wakati ule maana yake haswa ilikuwa nini?? Hata kama ni pesa binafsi kwa hivyo haituhusu lakini kwenye hili sio baya tujiuliza binafsi tu hata kama ni kimya kimya maanake nini? Kama ni ahsante kwa mfano…..kwa wema gani uliofanyika….nk nk nk.
Kama Mzee wetu Rugemalira hana kosa je yule Singa Singa …? Na umesema Mzee wetu alikatiwa asimilia zake kutokana na matumizi ya Ardhi aliyoimiliki ilipokuwa IPTL, hizi pesa za Escrow sisi walalahoi tuliambia zilikuwa kama $78m na zilitolewa kama pesa taslimu!!! Huo mgawo wa Mzee wetu alilipwa baada ya pesa hizi kutolewa taslimu au mgawo wake ulikuwa tofauti na hizi pesa tofauti?? Nasema hili sakata ukigusa tu lina mambo mengi sana hebu fikiria $78m pesa taslimu zinatolewa benki halafu unaenda kuzihifadhi wapi kwenye usalama Zaidi??!! Kitu kimoja naona Mzee anaumia sababu ndio mbuzi wa kafara. Nafikiri hapo utajua sababu ya kusema inaibua maswali mengi sana. IPTL....PAP.....So much things to say....
 
Ruge alimpa Tibaijuka, Kilaini na wahaya matapeli wenzie. Maskini gani alipewa hapo?! Maweeeew mwafuwa muacheni tuu anyee debe Muhaya mjinga.
 
Back
Top Bottom