.Watu tupo field tunayaona haya wachina ni wababaishaji hawana ubinadamu na watesaji tu iyo.migodi wangepewa wazungu watu wangefaidika sana apo kwa kulipwa vizuri na kufanyiwa baadhi ya maendeleo kwenye eneo husika
Nakubaliana na wewe 100%Hapo si kuwalaumu watanzania maana mfumo wa nchi ndio umejengwa hivyo kuwa hutakiwi kushoboka la sivyo utaona cha mtema kuni sasa hii imefanya watu wengi kuana kuwa mali za nchi sio mali zao na haziwahusu zaidi ya serikali.
MAGU kwa hili was better,wa sasa kamzidi hata kwenye utekaji na mauaji.Ni tupatupa wa rasilimali za nchi hasa ya TanganyikaTutakapomaliza kugawa kila kitu ndio zitaturudia
.
Kwa ufupi Asians wana roho ya kimaskini kama watu weusi tu. Ubaya zaidi wachina ni abusive sana
Hata Mimi wachina hua siwakubali kabisaWawekezaji wahuni kupata kutokea duniani, Sisi ndio tumewakumbatia.
Tunaokuja katavi mara kwa mara tunaona kinachoendelea.
Ukweli unaoumahaki, utu heshima those are Christian values, ndiyo maana unaona Christians walivyokuja kwetu walijenga shule ambazo tulielimishwa, tulijua kusoma na kuandika, walijenga hospitali ambazo tulitibiwa pia ingawaje muslims arabs walikuwepo before lkn hakuna huduma yoyote ya kijamii walioijenga ambayo ilimnufaisha mtu mweusi sana sana walikuwa wanauza black people utumwani.
bombo hospitali tanga ilijengwa na Christians mwaka 1890, muslims hawakuwahi kujenga hospitali wala shule yoyote ile popote pale, ni 100% exploitation na ndicho kinachoendelea leo hii …
View attachment 3634029
View attachment 3634028
Wanachota kweli sio polepole hawana cha salia mtume wale washaanza kujifunza mpka Kisukuma ni hatariMpanda,Katavi kuna dhahabu za kutosha na pesa ipo but wamejaa wachina kote huko hata kupata vibali vya kuchimba kama Mzawa ni ngumu..
Wamejenga na Airport yao kabisa,wanasafirisha tani za kutosha za Gold..
SAMIA WHAT IS THIS
Britanicca
Bora yake Chief Mangungo wa Msovero alikuwa hajui kusoma akajikuta katuuza bila kukusudia. Vipi wasomi wa sasa "wanatuuza" mchana kweupe.Roho ya mangungo aliyeuza ardhi ya Tanganyika kwa wakoloni nadhani ndio waTanzania wa leo wameirithi.
Uchawi ni ujinga wa jamii au taifa lenyewe.Haiwezekani kuiroga serikali nzima iliyoko madarakani mkuu?
Hadi lini rafiki….?Yanayoendelea yanapaswa kutokea, 🙏🏽
Kama wanalipa Kodi shida iko wapi?Mpanda,Katavi kuna dhahabu za kutosha na pesa ipo but wamejaa wachina kote huko hata kupata vibali vya kuchimba kama Mzawa ni ngumu..
Wamejenga na Airport yao kabisa,wanasafirisha tani za kutosha za Gold..
SAMIA WHAT IS THIS
Britanicca
Ila wao wanao mwenge wanaturoga Nchi nzimaHapana hakuna uchawi wa namna hiyo
Kinta Kunte knows all those episodes and those Values of those Big Guys 😳🙄 !haki, utu na heshima those are Christian values, ndiyo maana unaona Christians walivyokuja kwetu walijenga shule ambazo tulielimishwa, tulijua kusoma na kuandika, walijenga hospitali ambazo tulitibiwa pia ingawaje muslims arabs, irani walikuwepo before lkn hakuna huduma yoyote ya kijamii walioijenga ambayo ilimnufaisha mtu mweusi sana sana walikuwa wanauza black people utumwani.
bombo hospital tanga ilijengwa na Christians mwaka 1890, muslims hawakuwahi kujenga hospitali wala shule yoyote ile popote pale, ni 100% exploitation na ndicho kinachoendelea leo hii …
View attachment 3634029
View attachment 3634028