Hahahaha nini jiji hata ulimwengu namaliza
heeeeee!!! Mbona hujanipitia ???
Hahahaha labda uko mars lol
Wala hana hela ni mshahara wa kawaida tu mimi mwenyewe najiweza, sijampendea hela zake! acha kukariri@mwekundu
...teeh! Hakika narudi kwa dunia ili tuone kama naweza kufanya idadi ikome au utaendelea kutafuta namba inoyotosha mguuni.
maelezo yangu hapo juu yamejitosheleza! nimeona utofauti mkubwa na mahusiano mengineyo!umejuaje kama umependa hebu tupe uzoefu umehisi nini mpaka ukahitimisha kuwa umependa na kupenda ni raha au maumivu tupe darasa mkuu
sio kila aneoa/kuolewa kapenda. wengine basi tu eti wanatoa 'nuksi'
Kwa mtazamo wangu hakuna mapenzi ya dhati ni kutimiza wajibu tu tena mara nyingi ht kwa wanaume inakuwa unamiss mambo fulani kwa mke aliepita na unalinganisha na wasasa unaona kama bd hujapata mapenzi ni mtihani mkubwa
We Unaweza kuacha kazi au kufukuzwa kampuni nne tofauti...Lazima moja uliipenda zaidi au hakuna hata moja ulioipenda...unahangaika tu...ndo kama hivyo
Wazee walisema kila shetani na mbuyu wake...sasa wewe umepata mbuyu wako... For some it happens once Wengine twice..Wengine it never happen
Ni kweli kabisa! It happened once, nilimpenda sana. Tatizo hakuna mtu niliyewahi kumchukia kama yeye pia. Ila kwangu mimi haitatatokea kupenda hivyo tena, maana kwa sasa I use my head, I no longer follow my heartWazee walisema kila shetani na mbuyu wake...sasa wewe umepata mbuyu wako... For some it happens once Wengine twice..Wengine it never happen
Hizo deshi deshi means?Kwa upande wangu ni kweli, yaani nampenda huyo mwanaume mpaka nahisi niyeye tu dunia nzima ndio mwanaume peke yake. Ila ............................!!!!!!!! Kupenda huku basi sawa.
Hizo deshi deshi means?