Dr.Chichi
JF-Expert Member
- Apr 30, 2008
- 2,393
- 639
mpaka umpate mbuyu wako si kazi ndogo
kuna wengine wameparamia mibuyu mingi sana....unaweza hata kuwapa cheo cha wahifadhi wa misitu
mpaka umpate mbuyu wako si kazi ndogo
hutendi haki mkuu...
mpaka umpate mbuyu wako si kazi ndogo
. Ha ha ha; Kuna waliojaliwa mkuu and she is definitely one of them. Yaani sio issue, kama mnywa beer asie na beer maalum - Mwezi huu Kilimanjaro; mwezo ujao Serengeti ili mradi siku ziendeInategemea ntu na ntu...
Wapo wengine daily wanapenda tena kwa kiwango kile kile.... Eg: Diva wa Klauds
nampenda kawaida kwani kipimo cha kupenda ni kipi ,she will be the happiest all the time but sio kupendaaa kama mpaka unakuwa mtumwa wa mawazo ,is only GOD
yan kama ni hivyo hata ukiibiwa roho haiumi wala nini....
viZuri sana
Habarini!!
Huu msemo sio mgeni kwako na kwangu hata mimi nilikua nikikua huku nausikia na Sasa nimeamini kuwa kupenda ni Mara moja tu
Nimekuwa kwenye mahusiano hapo nyuma lakini sijawahi kupenda, sijawahi kumlilia mwanaume kwa lolote wala sijawahi kuomba msamaha nadhani mfumo jike ulinitawala sikuwa na hisia na yeyote nilie wahi kuwa nae
Maisha yamebadilika Sasa ndipo nikagundua kuwa kwasasa nimependa kweli nimekuwa mdogo Kama piriton mwenye machozi yasiyoisha nikikosea na napenda kwa dhati haijalishi nini
Je ni kweli nawewe kwa upande wako imekutokea hii kwamba umewahi kupenda mara1 tofauti na Mara nyingine zote? Hata kwa wenye wapenzi wengi yupo mmoja ambae ndie unique unaemuhusudu??
Nipeni uzoefu
Nawasilisha
IUME? ili iweje? nitampenda na nitahakikisha shes all the way happy and loved but sio kunichanganya namambo mengi kwenye kichwa sio kupenda tu
safi sana mkuu..wote wangekuwa kama wewe kusingekuwa na mahaba niue na watu kulalamika na mapenzi yanawaumiza..
Wala hana hela ni mshahara wa kawaida tu mimi mwenyewe najiweza, sijampendea hela zake! acha kukariri@mwekunduInategemea "ntu na ntu" na huyo uliempenda ana FEDHA kiasi gani
duh aisee kweli nimekubaliKwa upande wangu ni kweli, yaani nampenda huyo mwanaume mpaka nahisi niyeye tu dunia nzima ndio mwanaume peke yake. Ila ............................!!!!!!!! Kupenda huku basi sawa.
ewaa wewe umeelewa nachokizungumza!Niaminivyo mimi,waweza kupenda mara nyingi,lakini maumivu makali ya mapenzi ni mara moja tu...yafuatayo baadaye ni marudio tu.
Inaweza kutokea au isitokee! kupenda acha kabisa!!! ni hatariMie sijawahi penda hata mara moja, nina very short lasting infatuation na ikiisha wapigwa chini kiinterejensia. I wish ningependa hata kwa siku moja tu nione how it works in ones heart. Mie naamini nitaoa kwa ajili ya kutimiza tu wajibu na si kupendj aisee
kuna wengine wameparamia mibuyu mingi sana....unaweza hata kuwapa cheo cha wahifadhi wa misitu
unatumia "try & error method?" si utalimaliza jiji kweli? Lols
Habarini!!
Huu msemo sio mgeni kwako na kwangu hata mimi nilikua nikikua huku nausikia na Sasa nimeamini kuwa kupenda ni Mara moja tu
Nimekuwa kwenye mahusiano hapo nyuma lakini sijawahi kupenda, sijawahi kumlilia mwanaume kwa lolote wala sijawahi kuomba msamaha nadhani mfumo jike ulinitawala sikuwa na hisia na yeyote nilie wahi kuwa nae
Maisha yamebadilika Sasa ndipo nikagundua kuwa kwasasa nimependa kweli nimekuwa mdogo Kama piriton mwenye machozi yasiyoisha nikikosea na napenda kwa dhati haijalishi nini
Je ni kweli nawewe kwa upande wako imekutokea hii kwamba umewahi kupenda mara1 tofauti na Mara nyingine zote? Hata kwa wenye wapenzi wengi yupo mmoja ambae ndie unique unaemuhusudu??
Nipeni uzoefu
Nawasilisha
Naomba ufafamuzi wako ama ujuzi kidogo juu ya hawa kina mama walio olewa zaidi ya mara tatu. Yaani utasikia fulani hii ni ndoa yake ya nne ama tano, yaani ana bahati kweli ya kuolewa. Sasa hawa wana mapenzi kweli kwa wanaume au inakuwa nini?