Mwanawalwa
JF-Expert Member
- May 28, 2012
- 1,014
- 302
Mie sijawahi penda hata mara moja, nina very short lasting infatuation na ikiisha wapigwa chini kiinterejensia. I wish ningependa hata kwa siku moja tu nione how it works in ones heart. Mie naamini nitaoa kwa ajili ya kutimiza tu wajibu na si kupendj aisee
haha kwamba utaoa kutimiza wajibu tu , kuna ndugu yangu naye anadai alioa kutimiza wajibu anasema akilinganisha mkewe na GF aliopita nao dah anasema basi tu nitafanyaje ,pole lakini utampata umpendae tu