Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,109
- 53,631
Huawei bado sana.Umemaliza mkuu nilikua nacheki hapa chipset ya hyo huawei inapigwa vibaya na Snapdragon ya Samsung
Reviews zote zinasifia kwenye camera tu.
Other than that ni sifuri.
Huawei bado sana.Umemaliza mkuu nilikua nacheki hapa chipset ya hyo huawei inapigwa vibaya na Snapdragon ya Samsung
Unatoa laki tano kununua tecno?Wanasema sio simu ,ila wanapoongelea simu lazima waitaje. Tecno hoyeeeeee! Sisi tunasubiri uzinduzi wa spark3.nyie toeni tu mamilioni,sie tunaandaa 500k.( mmetaja wenyewe tecno ndio mana tumeingilia uzi wao) hahahaaa..
Unatoa laki tano kununua tecno?
Huawei bado sana.
Reviews zote zinasifia kwenye camera tu.
Other than that ni sifuri.
Unatoa laki tano kununua tecno?
[emoji3][emoji3][emoji3]Unatoa laki tano kununua tecno?
Best Overall Camera - Google PixelHata huyo anaesifia P30 pro nimemwambia kuwa kitu pekee kinachosifiwa kwa hyo simu ni camera tu ndo maana ktk overall reviews kapigwa chini na S10 plus
Umemaliza mkuu nilikua nacheki hapa chipset ya hyo huawei inapigwa vibaya na Snapdragon ya Samsung
Plain boss... Verison ProductEdge au plain
Hapana. Ila imezidiwa kwa baadhi ya mambo na Qualcomm Snapdragon Chipset.Exynos ni mbaya?
Ila ina android 8 mkuuHiyo haikubali updates nje ya US