Mr. Mobile
JF-Expert Member
- Aug 28, 2017
- 1,439
- 1,634
OkayBut yangu ni Snapdragon
OkayBut yangu ni Snapdragon
Mediatek ovyo, ntanunua ya HiSilicon Kirin na Qualcomm Snapdragon tuMtu ananunua mediatek kwa 600,000 anaona sawa
Ongezea HTCIphone
Samsung
Google Pixel
Hakuna simu dunia hii zinazoweza kamata mashine hizo tatu kwenye ubora wa simu.
Wanasema sio simu ,ila wanapoongelea simu lazima waitaje. Tecno hoyeeeeee! Sisi tunasubiri uzinduzi wa spark3.nyie toeni tu mamilioni,sie tunaandaa 500k.( mmetaja wenyewe tecno ndio mana tumeingilia uzi wao) hahahaaa..
Kwa upande wako hili simu iwe bora unazingatia vigezo gani? Tuanzie hapa kwanza,...Tecno camon xPro ni nzuri kwa ubora ukilinganisha na bei 600,000/. Memory 64gb. Ram 4gb. Android 8. The only problem is because it is "TECNO"
Akikujibu nitag mzeeeKwa upande wako hili simu iwe bora unazingatia vigezo gani? Tuanzie hapa kwanza,...
iPhone pia bado hawajatoa flagships zao ngoja tusubiri tujue nani ni nani.Nasubiri note 10 ikitoka ndio nitafanya uchaguzi sahihi..
Niwe muwazi tu mkuu mimi si mpenz saana wa iphone, mie ni mwendo wa samsung, nokia na sony..iPhone pia bado hawajatoa flagships zao ngoja tusubiri tujue nani ni nani.
Oooh! Wewe ni mpenzi wa Android devices.Niwe muwazi tu mkuu mimi si mpenz saana wa iphone, mie ni mwendo wa samsung, nokia na sony..
Ila s10+ imenikosha mnoo nimepata tamaa ya kuwa nayo ila naona bora niisikilizue note 10 nizipambanishe atakae kuwa juu ndio nitafunga nae ndoa ya miaka km mi3 hv.
Oooh! Wewe ni mpenzi wa Android devices.
Jaribu pia kuangalia LG G8 ThinQ naona kwenye reviews nyingi wanaisifia sana, na ndio mpinzani mkuu wa Samsung S10.
Hapana nachelea kusema mie ni mpenz wa Android devices, kiukweli siipend saana android natamani ingekuwepi os nyingine mbadala ila kwa limitations za ios sina budi natulia tu na android.Oooh! Wewe ni mpenzi wa Android devices.
Jaribu pia kuangalia LG G8 ThinQ naona kwenye reviews nyingi wanaisifia sana, na ndio mpinzani mkuu wa Samsung S10.
NtakuchekiHiyo laki tano leta nikuuzie Mi 8 Lite, simu yenye uwezo mzuri nadhani kwenye historia ya Tecno hawajawai kutengeneza simu yenye quality kama hii. Kuuziwa hiyo bei simu yaTecno ni unyonyaji mambo leo.
View attachment 1082404
Niwe muwazi tu mkuu mimi si mpenz saana wa iphone, mie ni mwendo wa samsung, nokia na sony..
Ila s10+ imenikosha mnoo nimepata tamaa ya kuwa nayo ila naona bora niisikilizue note 10 nizipambanishe atakae kuwa juu ndio nitafunga nae ndoa ya miaka km mi3 hv.
Kabisa! Utaiona Tecno kama toy.Samsung kwenye matoleo ya S iko poa sana, nilianza kwenye S 4 sasa hivi nipo S8+ hizi simu uroda sana.
Ukizoea hizi simu siku ukishika Tecno unahisi umeshika Nyundo.
Samsung kwenye matoleo ya S iko poa sana, nilianza kwenye S 4 sasa hivi nipo S8+ hizi simu uroda sana.
Ukizoea hizi simu siku ukishika Tecno unahisi umeshika Nyundo.
2015 or 2017???Wale wa SAMSUNG A50 tunacoment wapi?
A
Hapo mwisho ni techno inahusikaBest Overall Camera - Google Pixel
Powerful chip - A12 Bionic/Iphone XS
UI/Smoothness - Iphone XS Max and Samsung S & Note Series (after rolling out One UI)
Display - Samsung S Series
Battery Life - Samsung Note Series
Worst OS in high end - Huawei EMUI Software
2015 or 2017???