Tunaotumia Samsung S10 series tukutane hapa

Mkuu huu mtandao unaaminika sana sana katika uchambuzi wa ubora na uthabiti wa simu, ktk comparison nyingi P30 pro ameshinda kwenye camera tu lakini kwingine kote S10 plus kamfunika. Hata ukiwasoma techradar wamezungumzia hilo.

Ubora wa simu unapimwa kwa mambo mengi sana! Mfano dynamic amoled ni habari nyingine. Samsung S10 ana wireless power sharing na features nyingi ambazo amempiga bao Huyo p30

weka hapa
Screenshot_20190424-145339_Chrome.jpeg
 
Hii simu ina vitu vingi sana ambavyo zimeifanya iwe nr 1 kwa 2019
Well said Mkuu. Sijui soko la Bongo itakamata bei gani coz kwa specifications zake inaonekana iko poa sana hii kitu.
 
Mkuu huu mtandao unaaminika sana sana katika uchambuzi wa ubora na uthabiti wa simu, ktk comparison nyingi P30 pro ameshinda kwenye camera tu lakini kwingine kote S10 plus kamfunika. Hata ukiwasoma techradar wamezungumzia hilo.

Ubora wa simu unapimwa kwa mambo mengi sana! Mfano dynamic amoled ni habari nyingine. Samsung S10 ana wireless power sharing na features nyingi ambazo amempiga bao Huyo p30

View attachment 1079866
Kweli unatumia S10 (screanshot)..mzee bongo inaenda kwa ngapi??
 
Iphone
Samsung
Google Pixel

Hakuna simu dunia hii zinazoweza kamata mashine hizo tatu kwenye ubora wa simu.
 
Umemaliza mkuu nilikua nacheki hapa chipset ya hyo huawei inapigwa vibaya na Snapdragon ya Samsung
Iphone
Samsung
Google Pixel

Hakuna simu dunia hii zinazoweza kamata mashine hizo tatu kwenye ubora wa simu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom