Ok bei gani kiongoziYa March 2019
Hyo ni hatari mkuu
Nipe majina ya maduka ambayo wanauza samsung original pamoja na warrant
Asante Mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
How sure you are that super amoled is the best display in the world?
Mtu ananunua mediatek kwa 600,000 anaona sawa
VPN wanaitumia kwa kuunganisha simu zote za nje....so azipitii kwenye njia iliyopangwa na TCRA ,Kila dakika moja ya simu inayopigwa kutoka Tanzania kwenda nchi nyingine kuna pesa inaingia serikalini (TRA)) kama kodi na nyingine TCRA, sasa kwa kutumia VPN hela yote anapata Halotel
Nilishahama huko muda sana!niko samsung!.Uboya huo hata kama hujui si ujifunze kwa wenzako mi kwa tecno. Hata iweje siwezi kununua hata 250k si bora nikamate Samsung a10 itakuwa bora kuliko matecno
Mkuu mimi mwenyewe nilikua naivutia kasi muda kweli,hatimaye last week nimeitia kiganjani,iko poa sanaNasubiria bei ipoe kidogo nirukie hiyo simu. Still nipo s8+
To be honest ile zoom camera ya p 30 pro ni hatari,kwenye camera uhawei ameuaP30 pro kamzidi S10 plus kwa camera tu vingine vyote kapitwa that's why S10 plus kapata Marks kumzidi
CC Chief-mkwawa