Tunaosubiria mshahara wa Julai 2021 kwa hamu tukutane hapa.

Mmemchefua Mwigulu Nchemba hamtaki kutuma na ya kutolea mwezi huu tukutane tarehe 31 kama salary slip inavyojieleza.
Maana kutoa kabla ya tarehe ya mwisho wa mwezi ilikuwa ni ihsaan tu na siyo sheria


Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom