Tunaomba namba ya mke wa mdude iwekwe hadharani tuweze kumchangia ambacho tutajaaliwa,kuendelea kumuonea huruma haitasaidia kitu kwa familia yake

Tunaomba namba ya mke wa mdude iwekwe hadharani tuweze kumchangia ambacho tutajaaliwa,kuendelea kumuonea huruma haitasaidia kitu kwa familia yake

Mganguzi

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2022
Posts
2,308
Reaction score
4,687
Ni muda Sasa kila mtu anaonyesha hisia tofauti tofauti juu ya mke wa mdude na familia yake kwa ujumla !! Pamoja na yote yanayoendelea Bado familia ya huyu kamanda inamahitaji muhimu sana ! Huenda Kuna watoto wanasoma ama huenda Kuna mahitaji ya kifamilia ,badala ya kuendelea kumuonea huruma ya maneno matupu tuwekeeni hapa namba yake ili watanzania tumchangie chochote hata kama ni mia mbili mia mbili itasaidia watoto kuendelea na masomo yao bila shida yoyote ,tafadhali tuwekeeni hapa namba yake!!
 
Back
Top Bottom