ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 19,834
- 45,550
Toka uswahiliniDar ndo mkoa wa kipekee unaishi na mtu nyumba moja ila mnakutana weekend tu maana kila mtu anatoka alfajiri anarudi usiku...
Maisha popote love
Maisha popote love
Bonyokwa, Bar mpya.. Three way.. kweli kabisa ase.Hata dar wapo inategemea na eneo unaloishi, njoo bonyokwa unapewa masponsa watatu, michepuko sita na mwenyewe hujui hata hao watu wanafananaje!!!
π hapo hapo wana uswahili sanaBonyokwa, Bar mpya.. Three way.. kweli kabisa ase.
Haha naona sana karibu mtaa mzima wanafahamiana vizuri sana.π hapo hapo wana uswahili sana