Tunaogopa kuwauliza "umekula"

Tunaogopa kuwauliza "umekula"

Kiranga nawe unakimbia mizinga midogo midogo hivi
Sikimbii mizinga. Nina bajeti maalum kwa ajili ya mizinga. Siendi kanisani wala msikitini. Sasa wewe unafikiri sadaka natoa wapi kama si kuwapa watu wanaopiga mizinga?

Nimekwambia kuna mtu wangu kaniomba $2 nikataka kumpa $50 hapo hapo. Ubovu nikawa naingia conference na internet ikawa inasumbua.

Baada ya 30 minutes nikawa nishamtumia $50 ambazo hajategemea.

Na huyo ni mtu wa 3 katika wiki moja kumtumia $50.

Naelewa vyuma vimebana halafu grisi ipo shelf ya juu halafu hamna ngazi hata ya kuazima kwa jirani.

Mtu wangu. Namjua. Tumetoka mbali.

Ni sawa tu. Nimeona aibu kumpa $2. Kaomba $2 nimempa $50.

Tatizo unakutana na mtu hata humjui, unamsalimia tu, hata kabla ya kukujibu salamu anakulilia njaa.

Unaona hapa kabla ya mambo ya fedha, hata basic home training hakuna.

Unasepa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom