Tunaogopa kuwauliza "umekula"

Tunaogopa kuwauliza "umekula"

Beby nna njaaa, UTAKULA KOFI PUMBAAAAVVV
claw-nails.jpg
 
Sasa unamuulizaje mtu hajala unategemea nn kwa mfano

Nina mchumba wangu anasemaga ameshakula, ila nikienda kuagiza naagiza set mbili moja yake moja yangu.

Sasa wakati tunakula nakaa nategemea atashindwa kumaliza ili nimalizie mwenyewe.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] safi sana anavyokufanyia
Nina mchumba wangu anasemaga ameshakula, ila nikienda kuagiza naagiza set mbili moja yake moja yangu.

Sasa wakati tunakula nakaa nategemea atashindwa kumaliza ili nimalizie mwenyewe.
 
Mtazamo wangu
1. Kama hutaki kuombwa hela zako na wewe usiombe vya mwenzio. Kwa lugha ya kubet tunasema even odd
2.Hata mimi ukiniuliza nina njaa kama sijala nitakujibu bado,na kama nimekula nitakujibu nimekula.
3.Mimi nikikutana na mtu nayefahamiana nae awe mwanamke/mwanaume na akasema ana njaa huyo lazima nimsaidie ale maana kwangu msosi sio ishu ya kushangaa,chakula kitu gani? unamsimanga mtu kisa msosi wewe utakufikisha wapi?
4.Mtu akiwa na shida na kitu una hiari ya kumsaidia au kutomsaidia.Usimsaidie mtu kwa minajili ya kuja kumsema kwa watu baadae hiyo sio tabia nzuri.Binadamu tuepuke unafiki.
Kama ukiamua kusaidia saidia kama hutaki acha hujashikiwa bunduki kisogoni kwamba ni lazima usaidie.
Nawasilisha
 
Anzisha hata kabustani ka mboga kama hela ya chakula huna...kushindwa maongezi na mwanamke js bcz of food ni umaskini period.
Siku nyingine usome mara mbili mbili labda utaelewa. Hakuna aliyelalamika kuombwa chakula isipokuwa kutumia mwanya wa 'nina njaa' kutupiga virungu, mfano mwanamke anakwambia hajala lkn anaomba elfu 50! Hiyo kweli njaa ya 'tumbo' au ya 'akili'!? Tunazungumzia tabia yao mbovu ya kutelezea kwenye 'njaa' kupiga mizinga mikubwa. Nimeshangaa unakuja na habari ya 'bustani ya mbogamboga!!!' Siku nyingine usikurupuke.
 
Saa nyingine unakuta wana njaa kweli lakini kwa vile njaa wameigeuza chambo ya kuvuna pesa tunashindwa kuwasaidia.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wadada wengi tupo hivyo

Najua hizi tabia, uzuri anakuwa ni ambaye nimemzoea kwa hiyo najua anachokula naagiza 2.

Akiwa mgeni akajibu nimeshiba ndo huwa changamoto, ntambembeleza ataje chochote ata ale kidogo huku nikijua ntaagiza kingi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom