Tunaogopa kuwauliza "umekula"

Tunaogopa kuwauliza "umekula"

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Najua hizi tabia, uzuri anakuwa ni ambaye nimemzoea kwa hiyo najua anachokula naagiza 2.

Akiwa mgeni akajibu nimeshiba ndo huwa changamoto, ntambembeleza ataje chochote ata ale kidogo huku nikijua ntaagiza kingi.
 
hata mkikutana saa 10 jioni atakwambia hajala
yaani sijui hawa watu hawalagi au kutukomesha

Ha ha mimi hili swali halikwepi maana huwa ananicheki either mida ya lunch au super, sasa kama gentleman lazma niulize babe umeshakula?nikiuliza hivyo ujue sio chini ya tsh 8000/= initoke hapo na mafuta ya kukipeleka, nnaongelea pale fast food sinza makaburini ndio chakula bei chee au pizza pale pizza hut au chicken hut mcity

Nb: sijawahi kujutia hata hivyo i feel proud to feed my love
 
Siku nyingine usome mara mbili mbili labda utaelewa. Hakuna aliyelalamika kuombwa chakula isipokuwa kutumia mwanya wa 'nina njaa' kutupiga virungu, mfano mwanamke anakwambia hajala lkn anaomba elfu 50! Hiyo kweli njaa ya 'tumbo' au ya 'akili'!? Tunazungumzia tabia yao mbovu ya kutelezea kwenye 'njaa' kupiga mizinga mikubwa. Nimeshangaa unakuja na habari ya 'bustani ya mbogamboga!!!' Siku nyingine usikurupuke.
Kwa povu hili kweli msg sent and delivered
 
Vita ya me na ke bado yasonga na haita isha kwamwe.
 
Basilisha mfumo wa swali tu....sasa hivi uwe unauliza.."baby najua umeshakula hadi muda huu sasa Fanya hivi"

Usimpe nafasi ya kujibu lisiwe swali Bali iwe sentensi muendelezo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Haki umejua kunichekesha leo
 
Huyo anayesubiri umuulize kakuheshimu sana, mimi kuna mmoja huyo nimemsalimu tu, kabla ya kujibu salamu nikapigwa kigongo hapo hapo.

Nikaona hapa hata kamaulikuwa na ndoto za makubwa inabidi uwe mdogo usepe tu.
Kiranga nawe unakimbia mizinga midogo midogo hivi
 
Ndio muwaambie wale kabisa huko wanapotoka sio kuwatesa watoto wa watu
 
Kati ya vitu sivungi ni kula,nikiwa na njaa ukweli nasema tu au kama nataka chakula flan tena kwenye kula babe hataki mchezo anataka nile nachotaka kwa muda wowote ule nikitaka wala haguni ni Mpesa tu inasoma
 
Na ni kwanini madem wengi wa town wana njaa ?? hawali makwao...na hata ikiokea umewapeleka kwenye mgahawa kula basi huishia kugusa gusa chakula. Sijui nani aliwaambia wakifanya hivo wanaonekana matawi...na kama sio kuuza sura huwa wanatafuna hadi mifupa dadadekii...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom