Tunaoenda Moshi leo Tar 24

Tunaoenda Moshi leo Tar 24

Nimefanikiwa kupita Mlandizi ila ni baada ya jitihada za kutanulia mashambani mwa watu. Tupo kama 3k kutoka Ruvu nako tumekwama kwa zaidi ya dk 20 now

We mtumwa wa mafisadi! Ukifika Moshi Kilimanjaro usiache kuja mpk Arusha tuje tukung'atue ktk jinamizi la utumwa kwa mafisadi inayokusumbua. Safari Njema!
 
Arusha lazima nifike na nitakuwa na Lema. Hapa tupo kimapumziko zaidi.tunaondoa na kusahau kabisa itikadi zetu kwa kipindi hiki
 
unaharibu sifa za kina mangi aisee. Kumbe we wa kule?
Inamaana wachaga wote wote ni CD.? Nilikuwa silijui hili! Nipo tu kimapumziko huku.
Kumbe ww mangi meza duhhh ndo maana..
Kwenda MS na Arusha kipindi hiki si lazima uwe mtu wa huku. Mapumziko muhimu sana, huku ndipo penye maene ambayo unapumzika kikweli!!
 
Acha udwanzi nani kakwambia hizo gari destination yake ni Moshi? Dodoma, mbeya, Arusha, Morogoro hakuna magari?
Kimekuuma ee?? Pole..yaelekea unajutia sana kutozaliwa kanda ya kaskazini
 
Duh! haa wazungu nao wanajutia kutozaliwa kanda ya kaskazini Sababu Meno yao hayajaoza kama ya Rejao
 
Meno ya gold yanahusika sana!! Kumbe na wewe pia unajutia??
 
Wachagga mmeweza kujitambua ya kuwa dar sio nyumbani kwenu hongereni sana dumisheni tabia hii nzuri sana ya kupenda kwenu kwa ndio iliyofikisha mkoa mbali sana kimaendeleo
 
Kwa hili wanastahili pongezi!!!
Thanx kwa kuliona hili mkuu
 
umefika salama? Sikukuu niaje?
Nipo salama husninyo. Nipo na wazee tu huku tunaongelea mambo ya maendeleo. Huku ni mwendo wa mizinga tu. Kila ukigeuka unaambiwa hili, ukienda huku unaambiwa hili. Mpaka nirudi DSM lazima nitakuwa na Overdraft kubwa sana.
 
lazima uhame chama wewe unajichimbia dsm huku unamshabikia JK
 
Hiki chama siwezi kukihama kamwe. Ni chama pekee kisicho na ubaguzi wa kidini wala kabila. Ni chama pekee ambacho kila mwanachama anawaza chama kwanza na siyo individual benefits kama vilivyo vyama vingine hapa TZ.
 
aahaa! kule kwa kwa bwa.na.ko!!!

Naona unajifunza maujanja humu JF..unikumbusha wakati nasoma chekechea pale Kisutu, nilikuwa nikiandika tusi naweka dots ili mwalimu asijue! Ha! Ha! Ha!
 
Mbege ya bure siku za xmass huku mandenyi siku hizi imeadimika sana, dah nimeshatembelea kama familia nne sijagonga hata kitochi kimoja,ni eagle lager na banana plus viroba vimetawala.
 
Nipo salama husninyo. Nipo na wazee tu huku tunaongelea mambo ya maendeleo. Huku ni mwendo wa mizinga tu. Kila ukigeuka unaambiwa hili, ukienda huku unaambiwa hili. Mpaka nirudi DSM lazima nitakuwa na Overdraft kubwa sana.

rejao uko pande za wapi? Kijiwe wapi leo?mlioko mo town malindi au la liga kunaendeka?
 
Naelekea hapo Makumba kupata kidogo then baadaye nitaangalia panapo happen zaidi. Wewe wapi now?
 
Back
Top Bottom