Tunaoenda Moshi leo Tar 24

Mbege ya bure siku za xmass huku mandenyi siku hizi imeadimika sana, dah nimeshatembelea kama familia nne sijagonga hata kitochi kimoja,ni eagle lager na banana plus viroba vimetawala.
Hahah..hujaenda enterior..ukienda ndani ndani huko haya mambo bado yapo!! Mi mbona nimekaribishwa na kata sehemu kibao?
 
Hey ndugu yangu matungusha ulifika? Mi nipo zangu rombo napata mbege kwa xana na kujadili mipango ya 2012! Welkam guys!
 
Hiki chama siwezi kukihama kamwe. Ni chama pekee kisicho na ubaguzi wa kidini wala kabila. Ni chama pekee ambacho kila mwanachama anawaza chama kwanza na siyo individual benefits kama vilivyo vyama vingine hapa TZ.

ukimuona mchaga yuko CCM.......

MWIZI, FISADI........ JAMBAZI
 
Na wewe mamaya walalamika nn wakati wari wa bure upo kwetu? Hujataka ukaribie tu ndugu coz wachaga ni wamoja!
 
Hey ndugu yangu matungusha ulifika? Mi nipo zangu rombo napata mbege kwa xana na kujadili mipango ya 2012! Welkam guys!
Enjoy mkuu..lakini angalia usirudi town ukiwa mifuko mitupu
 
Nipo salama husninyo. Nipo na wazee tu huku tunaongelea mambo ya maendeleo. Huku ni mwendo wa mizinga tu. Kila ukigeuka unaambiwa hili, ukienda huku unaambiwa hili. Mpaka nirudi DSM lazima nitakuwa na Overdraft kubwa sana.

pole shemeji.
 
si rahisi mbege inifilisi mkuu coz hii imeandaliwa home na mie cwez kwnda kununua mbege kilabuni had nifulie.
Haya mkuu...mimi nipo na waheshimiwa hapa moshi mjini. Raha moja tupo covered kwa kila tunachospend. Karibu sana
 
Na wewe mamaya walalamika nn wakati wari wa bure upo kwetu? Hujataka ukaribie tu ndugu coz wachaga ni wamoja!

kure wari kabisa ku. wakolya mndu akora wari ideve limu weamba ni wari? ngikundi ngaenda kwa mndu ngikolye avikya ibiba la wari homengetheni,ibiba la weamba la msarakambo. Na si maburungusu yo venwa sasa hivi ku na fimorali na kiboko. Waishwa? Wala memba sa skuku dhaeee?
 
Hey ndugu yangu matungusha ulifika? Mi nipo zangu rombo napata mbege kwa xana na kujadili mipango ya 2012! Welkam guys!

kuna na huyu mrombo anajiita Mbutuku hapa jf,siji nae alifika sala au vipi
 
kure wari kabisa ku. wakolya mndu akora wari ideve limu weamba ni wari? ngikundi ngaenda kwa mndu ngikolye avikya ibiba la wari homengetheni,ibiba la weamba la msarakambo. Na si maburungusu yo venwa sasa hivi ku na fimorali na kiboko. Waishwa? Wala memba sa skuku dhaeee?
ha ni kufo ukeri are lau mlya? Itakwe ngikulolye nanga mfiri umu ndi....,hivo ngilelaa mapema kwa sababu kure mndu alehende kreti sitani sa bia kavengmaa kabisa luvaha saa si ngoja ngindesali kwa mobya!
 
Haya mkuu...mimi nipo na waheshimiwa hapa moshi mjini. Raha moja tupo covered kwa kila tunachospend. Karibu sana

Kaka angalia mfuko usije toboka, maisha huku Dar, yamepanda sana kutokana na mafuriko..................
 
Kaka angalia mfuko usije toboka, maisha huku Dar, yamepanda sana kutokana na mafuriko..................
Asante kwa ushauri mkuu. Najitahidi sana kuwa makini. Huku Moshi nako maisha pia yamepanda sana.
 
udereva una raha yake
Acha dharau LAT, kazi ni kaz tu. Cha muhimu ni ikusaidie kukover mahitaji yako ya kila siku na kama kuna saving inakuwa nzuri zaidi.
 
Acha dharau LAT, kazi ni kaz tu. Cha muhimu ni ikusaidie kukover mahitaji yako ya kila siku na kama kuna saving inakuwa nzuri zaidi.

Rejao

Mbona sijadharau kazi yako, going far nimetoa credit kwamba udereva una advantage zake, hii ni kama unavyojivinjari na maboss wako kipindi hiki cha xmass

please dont drink and drive
 
Back
Top Bottom