Mchaka Mchaka
JF-Expert Member
- Jul 20, 2010
- 4,517
- 1,428
Ebo! siku hz wanawake ndio wanaotoa mahari?kijanaaaaa,
ukileta matusi huku kwetu ni furahaaaaaa.......
niko njiani kuleta mahari kwa MANKA MASSAWE... najua we shemeji yangu
Ebo! siku hz wanawake ndio wanaotoa mahari?kijanaaaaa,
ukileta matusi huku kwetu ni furahaaaaaa.......
niko njiani kuleta mahari kwa MANKA MASSAWE... najua we shemeji yangu
Tuko blocked karibu na Mlandizi. Kuna foleni ya kufa mtu. Hatujui kama ni Ajali au nini. Kuna foleni ya gari ndogo zaidi ya kilometa 2
unaharibu sifa za kina mangi aisee. Kumbe we wa kule?
JF pia ya wachaggahaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
1.NASIKIA YESU ALIKUWA NI MCHAGA...
2. NASIKIA CHADEMA NI CHAMA CHA WACHAGA.
3.NASIKIA wachaga wezi, wameiba mashirika ya umma, na kuyafilisi....... HATA RELI YAO WAMEUAAAA...
SHIMBONIIII
mungu awabariki na mfike salamaaaaa
Ha ha haaaaaa, hii kali! Mmasai yy si mtu?Nipo hapa karibu na mkata kuna range imegongana na lori watu wawili na mmasai mmoja wamekufa papo hapo!
Thanx mkuu..tutajitahidi kufika hapo. Usisahau pia kutembelea jimbo la Moshi Vijijini uone mambo mazuri aliyoyafanya Chami mbunge wa CCMNipo uhuru park hapa moshi mjini kwakweli nawapongeza manispaa kuikarabati hii bustani hapa ,mnaokuja piteni hapa muone bustani na mandhari nzuri ya huu mji na park kubwa ya kupendeza.
Tuko blocked karibu na Mlandizi. Kuna foleni ya kufa mtu. Hatujui kama ni Ajali au nini. Kuna foleni ya gari ndogo zaidi ya kilometa 2
Nimeshafika mkuu.V8 ni sawa tu na helikopta
MMmmmh...Sijui kama ni wahuku..ila ninahisi mimi ni wa huku!!
Nipo hapa karibu na mkata kuna range imegongana na lori watu wawili na mmasai mmoja wamekufa papo hapo!
Nimeshafika mkuu.V8 ni sawa tu na helikopta
Tuko blocked karibu na Mlandizi. Kuna foleni ya kufa mtu. Hatujui kama ni Ajali au nini. Kuna foleni ya gari ndogo zaidi ya kilometa 2