Sielewi kinachojengwa pale Mwenge, kwanini hawamalizi?

kimsboy

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2016
Posts
11,185
Reaction score
24,565
Hiki kipande cha Barabara ya Sam Nujoma kutokea Mwenge hadi Mlimani hadi kule karibia na simu2000 why hakikamiliki?

Kipande cha Mwenge Tegeta jamaa sijui wanajenga vipi yaani nashindwa kuelewa watamaliza lini maana ni kero

Ule mradi ukikamilika utasababisha foleni kubwa sana

Sam Nujoma hakua na foleni kivile, ila baada ya huu mradi kibarabara kitabaki kuwa chembemba sana na tujiandae kwa foleni kubwa.Mtu unadrive hadi huoni raha ya kumiliki gari?

Barabara wameziminya sana.
Pale Mwenge sijui wanajenga nini maana hapakamiliki, halafu wanajenga wanaacha viraka then wanahamia pengine, kuna kituo nimeona hadi washapaua na mabati kabisa!! Sielewi jamaa wanajenga nini pale!! mwenge pamekua kama sehemu ya majaribio tu, kila mwaka fedha zinamwagwa lakini shida haiishi....Hii kero hadi lini?Wahusika wapo tu au ni kwakua viongozi wao wanapita na ving'ora?
 
Ulega na wizara yake wanafeli.
Na anapwaya.

Shida ni kuanzisha mirad ya Ujenzi mingi kwa pamoja bila ya kuwa na hela ya kuimaliza yote kwa haraka.

Strategic anafeli.
Mfano ww uwe unajenga nyumba alaf ukaanza kuchimba msingi wa nyumba na msingi wa ukuta kuzunguka nyumba na unataka iende sambamba.

Ukikosa hela. Mirad yote itasimama.
Ila ungeweka hela sehem moja. Ungekuta mmoja umeisha na unaanz mwingine.

Hakukuwa na haja ya Sam Nujoma kujengwa sambamba na Mwenge tegeta. Kama unajua utatumia miaka 3 kujenga .
Hela ingeekwa kwanza Sam nujoma. Miez 6 ingetosha kukamilisha. Alaf waamie Mwenge tegeta wakiwa na fungu la kutosha.

Magufuli alijizolea sifa kwenye hii Wizara. Alikuwa smart sana
 
Dar Yote Tatizo Wamebomoa Barabara Yaani Kila Siku Ujenzi January Mpaka December Hawakamilishi
KKuna Mradi Mmoja Nao Hovyo
kutoka Lusahunga Mpaka Rusumo
KKilometers Zaidi Ya 100 Mkandarasi Kachimbua Barabara Halafu Anajenga Atakavyo
 
Ulega huwa namuona kama mtu mmoja janja janja, hakuna la maana analolijua kwenye hiyo wizara.
 
Dar yote ipo kwenye ujenzi.Kuna hii ya kuanzia kimara mbezi NI kama wamemaliza maana hata mafundi hawapo tena site.Japo Barbara katikati ina vizuizi hatapiti magari ni zaidi ya miaka miwili sasa nahisi.
 
Ulega na wizara yake wanafeli.
Na anapwaya.

Shida ni kuanzisha mirad ya Ujenzi mingi kwa pamoja bila ya kuwa na hela ya kuimaliza yote kwa haraka.

Strategic anafeli.
Mfano ww uwe unajenga nyumba alaf ukaanza kuchimba msingi wa nyumba na msingi wa ukuta kuzunguka nyumba na unataka iende sambamba.

Ukikosa hela. Mirad yote itasimama.
Ila ungeweka hela sehem moja. Ungekuta mmoja umeisha na unaanz mwingine.

Hakukuwa na haja ya Sam Nujoma kujengwa sambamba na Mwenge tegeta. Kama unajua utatumia miaka 3 kujenga .
Hela ingeekwa kwanza Sam nujoma. Miez 6 ingetosha kukamilisha. Alaf waamie Mwenge tegeta wakiwa na fungu la kutosha.

Magufuli alijizolea sifa kwenye hii Wizara. Alikuwa smart sana
Kabisa hawa wajinga wamewekeza kwenye porojo ba sifa za kijinga tu
 
Aia
Dar Yote Tatizo Wamebomoa Barabara Yaani Kila Siku Ujenzi January Mpaka December Hawakamilishi
KKuna Mradi Mmoja Nao Hovyo
kutoka Lusahunga Mpaka Rusumo
KKilometers Zaidi Ya 100 Mkandarasi Kachimbua Barabara Halafu Anajenga Atakavyo
Seee

Nchi ya hovyo hii
 
Mnapoambiwa huyu mama pesa za mfuko wa barabara amezimaliza, huwa mnafikiri anaonewa?
Barabara nyingi za kiwango cha lami ni viporo, zinasua sua. Miradi mingi inatarajiwa kukamilishwa na bajeti ya 2026/2027, hii ya juzi.
Raisi hajazindua barabara yeyote toka ameapa.
 
Acha ushamba wa kutaka engagement mtandaoni,

Wizara na Idara husika wanajua,
Engineer's wanajua.
Mamlaka zote wanajua.

Kula tulia,pumzika siyo kila kitu ukiongelee,punguza umuch know
Wenzio jana walikua tel aviv kwenye parade, vipi naww ulikuwepo?
 
Back
Top Bottom