Tunaoenda Moshi leo Tar 24

Tunaoenda Moshi leo Tar 24

Rejao

Mbona sijadharau kazi yako, going far nimetoa credit kwamba udereva una advantage zake, hii ni kama unavyojivinjari na maboss wako kipindi hiki cha xmass

please dont drink and drive
Hahaha..umenifanya nicheke sana!!
Ngoja niendelee kufungua maboksi ya zawadi za mabosi wangu.
Have a nice boxing day LAT
 
Hahaha..umenifanya nicheke sana!!
Ngoja niendelee kufungua maboksi ya zawadi za mabosi wangu.
Have a nice boxing day LAT

Rejao

Same to you, enjoy your days during your stay in moshi
 
jua kali kivipi?mfukoni au?karibu hapa malindi tupate msikale mwana acha kukaa na hao mabosi wako muda wote
Malindi hapo nitakuja baadaye mkuu. But naprefer zaidi Makumba au Mr Price
 
Back
Top Bottom