Tunaoenda interview za TRA tukutane

Hayo uliyoshauri yalitumika enzi za Zama za mawe za kale.

Madogo walienda kwny mtihani wa auditing wakakutana na maswali ya Economics ya kutafuta DDP,GNP,RNP,Per capital income etc.Hayo sijui yanahusikaje na Auditing.
Hahahahah hio ndio bongo nyoso balaaπŸ˜…πŸ˜‚πŸ˜‚ unaenda interview ya marketing executive unaulizwa maswali ya Logarithm na Algebraic Equation! Ni kipigo tu ukitoka hapo unajisemea tu fami lilahi πŸ˜…
 
Mzee baba acha tu!

Yani kufikia 2025 ishu ya kazi wataenda 20K people. Af kinachoshangaza hawa jamaa wanaita watu wengi hivyo wa nini! Unaweza pata watu 9 katika random selection ya watu 20 tu. Why uwapandishe mabasi watu 9000+??? Ni kusanifu watu aisee
 
Hii interview mizinguo tuu. Nilienda ya Auditing swali la kwanza tuu mambo ya GDP, maswali yapo matano tena na vipengele kabisa muda lisaa. Nilifeli pepa kabla sijaanza kulijibu. Mwisho wa siku nikaambulia 34. Hii ya sasa hivi nimeona nisiendelee kuchoma nauli na hela ya lodge. Kusoma sio kazi kazi kutafuta ajira. Nilifanya interview na mtu aliyemaliza UDOM mwaka 2014.
 
Hiki kigoma cha custom ilibidi niwepo ila nimegoma kwenda kubahatisha kila mmoja anamuomba mungu apate.
 
Baada ya kudanganyana mwenzenu ameenda interview na muda huu analia tuu, yani mtu mzima mwenye akili timamu ety unaenda interview lakini akilini unawaza mambo ya bata na mademu rubbish sperms
 
GDP at mp= GDP at fc+indirect tax-subsidies
GDP at fc= GDP at mp-indirect tax+subsidies

May be we differ ila kwa upande wangu hayo maswali ya GDP nilikuwa nikikutana nayo kwenye pepa nashangilia coz uwanja wa nyumbani
 
Badala ya kuwaza interview wewe unawaza bata na mademu wakali.

Anyway,kila la kheri mkuu.
Hii sio Necta mkuu ama UE.

Mungu ni mwema mambo yameenda vizuri hadi sasa.

Round ya pili ipo mikononi.
 
Huyo ndio mmbongo [emoji28] af utegemee productivity humo ndio maana wajasiriamali ma Don hujaza ngozi nyeupe tu kwenye zile top positions
Nyie ndo mnafanya watu wawe na maisha magumu.

Sasa hapo productivity unataka iwaje. Yaani niache kuondoa stress na kutafuta energy kisa huo mtazamo wako.

Kwani huko kazini nyie kila jion si mnalewa na kulala na milupo na kesho mnaingia job na kupiga kazi kama kawa.

Chezea mshahara,piga kazi.
 
Kweli mkuu bata zipo kila sehemu...na mademu pia wapo.

Shida hiyo sehemu uliyopo mkuu. Mjini kuna totoz teke teke..hata bia za mjin tamu bana.

Achilia mbali sehemu za bata, mziki mkali..chomachoma nazo ni bab kubwa.
 
Si rahisi kama unavyoweza fikiri

Ni kweli sio rahisi.elimu yetu duni
Lakini huwezi jua.kuna ajira hata za nje ya profession aliyosomea za kufanya maisha yaende.

Elimu yetu ndio inatuangusha, haithaminiki kabisa na wazungu, wanajua ni ya kubumba na magumashi
lakini kazi zipo nyingi kama kwenye Nursing..
Wakenya tunaobishana nao kila siku kwenye mambo ya kipuuzi, wako mbali sana na elimu yao inathaminika duniani, hata Wazimbabwe ambao tunaona nchi yao imekufa lakini wanakuja kikazi UK kila siku....
 
Hahahahah hio ndio bongo nyoso balaaπŸ˜…πŸ˜‚πŸ˜‚ unaenda interview ya marketing executive unaulizwa maswali ya Logarithm na Algebraic Equation! Ni kipigo tu ukitoka hapo unajisemea tu fami lilahi πŸ˜…
πŸ˜„πŸ˜„ Naona vijana leo wako wanalia Lia mtihani ulikua haifai.
 
Mwaka 2018 nimezipiga sana hizo interview za utumishi pale DUCE.Nilikuwa sikati tamaa maana haikuwa gharama sana kwangu kwani nilikuwa naishi Dar. Nilipoondoka tu dar, sijawahi hata kuapply maana jamaa ukiwa na sifa tu wanakuita. Mnajikuta watu 800 post 1.
Hatari sana. Kuna watu hapo unakuta wametokea Kigoma na hawana ndugu, na baada ya mtihani mnasubiri matokeo jioni au kesho yake.
Siyo mchezo bongo, mtapata tu
 
Inasikitisha mno
 
Hahahahah hio ndio bongo nyoso balaaπŸ˜…πŸ˜‚πŸ˜‚ unaenda interview ya marketing executive unaulizwa maswali ya Logarithm na Algebraic Equation! Ni kipigo tu ukitoka hapo unajisemea tu fami lilahi πŸ˜…
Hahah afu kumbe kitu kilivujishwa,Madogo wamechoma nauli+lodge.Bongo nyoso

 
Hhaaaaa muulize wewe
Mwambie atafute connection za wahuni.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…