notradamme
JF-Expert Member
- Nov 2, 2010
- 2,009
- 453
mtakula sana uharo na matapishi yenu mwaka huu.Zitto hajawahi kutokuwa member wa Chadema, ila alikuwa na mgogoro na Chadema. Halafu kwa hizo taarifa, watakaoumia ni ACT ambao wanamsubiri Zitto kama turufu yao, sasa sioni sababu ya kuinanga Chadema.
Labda hufahamu Historia ya Mbowe na Zitto, hao walivyo ni kama baba na mwanawe, sasa kama kweli hilo lilifanyika mimi sioni jambo la ajabu hapo, kwani hata huyo Zitto mwenyewe anajua kama Chadema ni turufu yake ndio maana alikimbilia mahakamani alipotaka kufukuzwa.
Ova
hahahahahaaaaaaaaaaaaaa.Kwani Zitto alihama Chadema tangu lini?
kikwetu mshana ni BLACKSMITH(MUHUNZI)
hhahahahahahhahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
mtakula sana uharo na matapishi yenu mwaka huu.
niliwaambia na ninarudia'' AKILI ZA ZZK NI MARA 1000 YA AKILI ZA ZOOOTE ZA WAFUASI WA CHADEMA PRO-MBOWE NA VIFARANGA WAO.''
mimi sijali kama anarudi chadema ama laa ila ninachokuhakikishia ni kwamba nitamfuata na kuwa mfuasi wake popote atakapoenda kwani ndiye mwanasiasa peke ambaye naweza nikweka matumaini ya nchi yangu mikononi mwake
hhahahahahahhahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
mtawa-quote kila aina ya wanafalsafa. lakini ninachoamini ambacho ndio ukweli, Hukumu aliyohukumiwa ZZK ni hukumu kubwa kabisa katika maisha ya mwanasiasa. kumbuka mlimhukumu kwa hukumu ya USALITI na kama chadema wangepewa haki ya kutekeleza hukumu hiyo kimatendo, ni wazi ZZK angenyo9ngwa hadharani hadi kufa kwani hiyo ndiyo hukumu sahihi kwa MSALITI.usiwaamini wanasiasa 'said zitto.amini katika itikadi,falsafa
mtakula sana uharo na matapishi yenu mwaka huu.
niliwaambia na ninarudia'' AKILI ZA ZZK NI MARA 1000 YA AKILI ZA ZOOOTE ZA WAFUASI WA CHADEMA PRO-MBOWE NA VIFARANGA WAO.''
mimi sijali kama anarudi chadema ama laa ila ninachokuhakikishia ni kwamba nitamfuata na kuwa mfuasi wake popote atakapoenda kwani ndiye mwanasiasa peke ambaye naweza nikweka matumaini ya nchi yangu mikononi mwake
jaribu kuangalia mleta uzi ni nani tafadhali...notradamme umfanya spinning mbaya na kuharibu mjadala huu. Huu mjadala haumuhusu Zito hata kidogo inakuwaje yeye ajadiliwe !!? Anzisha uzi kama unataka Habari za Zito.
wewe ni mfua vyuma na kwetu sisi wewe ni najisi.Afadhali ucheke tu upunguze stress manake tangu asubuhi kote ulikopita ulikuwa unatafuta mitifuano na wanajamvi ambao hukubaliani na mitazamo yao
Yeriko umeanza kudharauliwa. Kama umefikia hatua ya kumnadi Kagame ndani ya ardhi ya Tanzania hakika umedharaulika sana
jaribu kuangalia mleta uzi ni nani tafadhali...
Huyu Yericko Nyerere ni miongoni mwa vijana wa kitanzania ambao hawastahili kupewa japo chembe ya nafasi bila kusimamiwa kooni na kuelezwa kinaga ubaga upumbavu walionao vichwani mwao.
kila habari anayoleta jamvini ni UZUSHI
ana chuki na watu na analitumia jukwaa kuwaumiza wakati anajua hawawezi kuja hapa na kujitetea.
ona jinsi anavyo spin taarifa za SIMBA TRUST kwa ajili tu ya kuumiza watu. hebu fananisha huu ujinga wake aliouleta kwenye post hii na ulinganishe na uharo aliopost last week kuhusu hii SIMBA TRUST kuwa ni mali ya watoto wa raisi KIKWETE..
Kumbuka jinsi alivyotumika kama karatasi ya kuchambia(toilet paper) kwenye mgogoro wa ZZK na chadema na jinsi alivyolitumia hili jukwaa kumsulubu kwa kutumia taarifa za uongo bila hata aibu.
huyu kwangu ni kibaraka na kibaraka hatakiwi apewe nafasi ya kupumua na kusambaza uvundo wa mihemko yake.
i did it with BEN SAANANE na sasa amekuwa adimu saaana jukwaani.
i will do with this pathetic snitch mpaka na yeye akimbie.
kama taifa tunahitaji watu wa kweli bila kujali itikadi zao. kiwango alichosulubiwa ZZK, haipaswi hata kidogo watu walewale leo wamtumie kwa malengo yao tena..
WE DONT SHARE THE SAME LEVEL OF THINKING.. Trust me.Acha ushabiki na ujuha wa kwenu! Kusema kweli Yeriko kila uzi anaoleta 'umeshiba' na ni mtu makini tofauti na wewe FUNZA
Wakuu, kampuni ya PAP ndio inayotuhumiwa kama "Legal Person" kwa kufanya jinai mbali mbali ikiwa ni pamoja na kujinyakulia isivyo halali umiliki wa IPTL. Lakini PAP ni "Sethi 50% na Simba Trust 50%"! Kwa nini kwenye mijadala bungeni na hata kwenye maazimio ya PAC na hata ya Bunge, huyu "Simba Trust" hatajwi kabisa? Ni kwamba hahusiki au ni vipi?
Nafikili kwa sababu nchi hii inaongozwa na JMK na kwa Sababu lazima taarifa na wamiliki wa kampuni mbalimbali ktk nchi yake kwa maslahi mapana ya nchi anawafahamu. Lazima atawataja wamiliki wa kampuni hiyo ya simba trust. Atafanya hivyo kuondoa wingu zito na sitamfahamu za nani mmiliki. Isitoshe hili si siri kama ilivyo mikataba ya gesi na madini.