Tunakwenda Nyumbani, bakini na Dar yenu

Tunakwenda Nyumbani, bakini na Dar yenu

Yapo makabila mengi tu yamebarikiwa lakini hayana huo utamaduni na mila zenu za kurudi nyumbani mwisho wa mwaka.

Wao huamua kufanya tofauti kama kuja hapa visiwa vya hawaii kula bata.
labda vya saanane
 
Yeah, hii hapa ni baada ya kupita ile ya Kilimanjaro. Ni nzuri saaaana uwanja wake wote jamaa kaupiga lami. Great na BONGE LA garden LA ukweli
mgomba wa pale utafikiri umeoteshwa migomban juu kule
 
Back
Top Bottom