Tunakwenda Nyumbani, bakini na Dar yenu

Tunakwenda Nyumbani, bakini na Dar yenu

Eti nasikiaga wachaga wanaoa wana waachia wake zao Baba siku ya kirisimasi wanakwenda kuona watoto nikweli?
 
Unajua mie napiga stories na wachoma nyama na wasafisha viatu kitaa na katika maongezi unakuja kujua huyu ni mchagga. Asilimia kubwa ukiwauliza kama wanaenda kuhiji watakwambia wanaenda hivyo labda watafunga biashara kwa wiki mbili au tatu au kutafuta mtu wa kuwashikia wakati hawapo ili wakahiji. Hivyo si kweli kwamba ni matajiri tu ndiyo wanaokwenda kuhiji hata wa kawaida nao hujikusanya.

Kuna rafiki yangu mchaga alikaa miaka bila kwenda mpaka alipotajirika
Hawa jamaa huwa ni ligi tu huko
Kapuku haendi
 
mwaka huu nilitamani hii kitu ingeratibiwa vizuri watu wasafiri pamoja ingekuwa issue nzuri
Mkuu ulikuja mwnyw mjini kutafuta maisha,pambana na hali tu.

Watu waache kwenda na ma v8 yao wasubiri usafiri wa ku RATIBIWA?hahah

Nazingua mkuu merry xmas&happy new year mkuu.
 
Mkuu ulikuja mwnyw mjini kutafuta maisha,pambana na hali tu.

Watu waache kwenda na ma v8 yao wasubiri usafiri wa ku RATIBIWA?hahah

Nazingua mkuu merry xmas&happy new year mkuu.
Halafu Ukifika kitaa unatumia boda boda hahahahahaa never!!
 
NDIO MJUE KUWA JIJI LA DAR WALIOJAAAA HAPO NI WA MIKOANI 80% KISHA 10% WAZARAMO NA 10% WAZAMIAJI AU WANAUME WA DAR
 
Aisee kumbe nawe umetokea ROMBO? nipo Mashati Mrere


c2f8070c5dc26d9fcda47db60b7ee0fc.jpg
509ccf414fe91f62179a1580da22613c.jpg
1005184beeb1cc45730675e31e79b969.jpg
d537ba98dcb882274cd390bce593c34a.jpg
 
Back
Top Bottom