Tunakwenda Nyumbani, bakini na Dar yenu

Tunakwenda Nyumbani, bakini na Dar yenu

Ukienda Moshi krismasi uwe na hela!! Maana. Hawana adabu wale! Utakuta una Umri wa miaka 48 na uko broke,(huna kitu)halafu umechanganyika na vitoto vya miaka 17-25 na vina hela nzuri! Basi vinakugeuza kuwa mesenja wao!!! Utaskia "aisee broo hebu tafuta geleni basi uende hapo kilabuni ukalete mbege tunywe tunywe hapa!!" na unaweza ukatumwa hadi mara kumi kwenye kikao kimoja!! Oote mbe! Mwingine anakuuliza "pole broo ulikuwa jela?" Hatari sana
Hahhahahha mbavu zangu jamani
 
Wachaga wote wezi tu, ndio maana kipindi hiki ujambazi unapungua maeneo ya Dar.

[emoji126][emoji126][emoji126]
.........Kila mtu ni mwizi,nasisitiza tena kila mtu ni mwizi ila kinachotufanya tusijulikane ni ile kuwa hatujawahi kukamatwa tu live tukipiga tukio hata wewe kuna sehemu zako uwaga unapiga....kataa!?

Ila umepata guts kutusema vibaya watu hapa kwa sababu hujawahi kukamatwa,siyo fresh man.
 
.........Kila mtu ni mwizi,nasisitiza tena kila mtu ni mwizi ila kinachotufanya tusijulikane ni ile kuwa hatujawahi kukamatwa tu live tukipiga matukio hata wewe kuna sehemu zako uwaga unapiga....kataa!?
Hhahaaa Yohana ndio kazidi wizi
 
Sijakuelewa! Magari ya Watu? Mimi sio MTU kumbe? Tunafahamiana? OK asante
Achana nae huyo unajua kabila lao limejaa mashamba boy sasa anadhani wachaga nasisi tuna tabia zao, mwambie sisi hata kijana asiposoma atakua mfanyabiashara hawezi kuwa shamba boy wala house boy
 
Achana nae huyo unajua kabila lao limejaa mashamba boy sasa anadhani wachaga nasisi tuna tabia zao, mwambie sisi hata kijana asiposoma atakua mfanyabiashara hawezi kuwa shamba boy wala house boy
Well said, karibu tupate bapa!
 
Back
Top Bottom