Tunajifunza nini kutoka kwa Wahindi?

Watu wenye roho mbayaaaaa kuliko, kuanzia mwenye roho mbaya zaidi kuelekea mwenye afadhali

1. Waarabu

2. Wahindi

3. Wachina

4. Waafrika

5. Wazungu
Unaonekana wewe ndiye mwenye roha mbaya na chafu kuliko hata hao uliowataja hapo.
 
Wahindi wana nidhamu ya hali ya juu na fedha.

Wanajituma haswa katika kazi zao.

Ni Ma-boss wa watu wengi katika jamii zetu
 
Siwezi fanya kazi na kanjibay mpaka nazikwa naona hapa mjini wanavyo enyesha wa tz weusi hadi napata hasira.
 
wabaguzi wakubwa hawa wanapenda mademu zetu ila wakwao hawataki tuwe nao sometime hawana utu kabisa kwenye kazi hasa wakiwa ndo wamekuajili

alafu ndo wanaongoza kwa vilemutuzi
sasa Mademu wa nini kama wana vilemutuz- au wa kupiga nao picha ze super mabebes???
 
Watu wenye roho mbayaaaaa kuliko, kuanzia mwenye roho mbaya zaidi kuelekea mwenye afadhali

1. Waarabu

2. Wahindi

3. Wachina

4. Waafrika

5. Wazungu
umekosea namaba moja ni JIWE then waarabu ndiyo wanafuata
 
Wako focused sana kwenye kazi zao. Wanajituma sana
Yah watu wanashindwa elewa sisi waafrika kwanza hatupendi kazi afu tukishaaminiwa mara moja tunaaribu ......wenzetu wako focused afu wakihamini wanafanya vizur zaidi, sisi tayar tunadoa na kila mtu akija toka nje anatukuta hivyo
 
Siwezi fanya kazi na kanjibay mpaka nazikwa naona hapa mjini wanavyo enyesha wa tz weusi hadi napata hasira.
Bro hii rangi yetu nyeusi tunakasoro kubwa sana leo hii unaweza haminiwa na mtu wa jamiii nyingine afu kesho unafanya mambo sio.... na hii ndo sababu hawa jamaa wanatuona kama watu tusio jielewa,,,, na pia wakifika hapa wanaambia sisi tulivyo xo kila anaekuja anatuchukulia hivyo kwasababu sisi pia hatuna nidhamu katika kazi zetu.
 
Back
Top Bottom