Tunajifunza nini kutoka kwa Wahindi?

Halafu wanajiita watanzania..hawa viumbe wabuguzi sana..hata vyuoni hawachangamani na wabongo..utawakuta wako wenyewe tu...ningekua mimi ndo jiwe nigewarudisha kwao.
Kwao wapi,halafu kodi utapata wapi,87% ya kodi wao ndo wanaotoa.
 
Siwezi fanya kazi na kanjibay mpaka nazikwa naona hapa mjini wanavyo enyesha wa tz weusi hadi napata hasira.
MTU mweusi bila kiboko aendi jiwe uoni anavopata tabu sana,hawaendi na kasi ya 4G atakayo watatumbuliwa sana.
 
Bollywood ipo nyuma ya Hollywood. Ni film Industry ya pili kwa ukubwa Duniani.
 
Wee jamaa yaani hapo umekasirika kwa kuwa waarabu wamewekwa wa kwanza.
Una akili fupi sana kila muda kuwaza udini dini.
Wapi nimewaza udini? umeanza kujishtukia eeh! endelea kufuga ujinga kichwani mwako,bora mimi mwenye akili fupi kuliko wewe ambaye huna akili kabisa.
 
Back
Top Bottom