Tunajifunza nini kutoka kwa Wahindi?

wabaguzi wakubwa hawa wanapenda mademu zetu ila wakwao hawataki tuwe nao sometime hawana utu kabisa kwenye kazi hasa wakiwa ndo wamekuajili

alafu ndo wanaongoza kwa vilemutuzi
Hahahaha kilemutuzi bila Shaka ni kitambi
 
Kuna watu wapo fasta kukimbilia kueleza mabaya ya watu utafikiri kuna jamii hapa duniani ambayo haina mabaya na yeye ndio hutokea huko.

Ubaguzi upo wa aina nyingi na upo sehemu zote na hufanyika kila siku katika maisha yetu ya kawaida na hatutokuja kuishi maisha yasiyo na ubaguzi,hivyo si jambo la kuwabatiza jamii fulani kuwa ndio wabaguzi.
Hata sisi weusi ni wabaguzi sana. jina mzungu ni la kibaguzi
 
wabaguzi wakubwa hawa wanapenda mademu zetu ila wakwao hawataki tuwe nao sometime hawana utu kabisa kwenye kazi hasa wakiwa ndo wamekuajili

alafu ndo wanaongoza kwa vilemutuzi
Hahaa!!!! Hafu mademu wa kihindi hata sio watamu
 
Watu wenye roho mbayaaaaa kuliko, kuanzia mwenye roho mbaya zaidi kuelekea mwenye afadhali

1. Waarabu

2. Wahindi

3. Wachina

4. Waafrika

5. Wazungu
hii list yako inareflect maisha ya ss au yale ya enzi za kale?
 
Watu wenye roho mbayaaaaa kuliko, kuanzia mwenye roho mbaya zaidi kuelekea mwenye afadhali

1. Waarabu

2. Wahindi

3. Wachina

4. Waafrika

5. Wazungu
Duh! yani katika watu wenye roho mbaya sie waafrika(ambao hatuna lolote na ndiyo maana muda wote tunalalamika kubaguliwa na kuona watu wabaya) tunampita mzungu kwa roho mbaya!

Umetumia vigezo gani hadi ukaweza kumuweka mwaarabu wa kwanza na mzungu wa mwisho kwamba hadi waafrika tumemzidi kwa roho mbaya?
 
Back
Top Bottom