WALOLA VUNZYA
JF-Expert Member
- Nov 20, 2020
- 8,425
- 8,131
Kawaulize ccm hata kesi ya kina Mdee na wenzake hukumu itakuja kutolewa hivi hivi ni matakwa ya ccm wala siyo ya Wananchi.Kesi km hizi zinatakiwa hikumu itolewe mapema ili haki itendeke, sasa mgoni wako hayupo ndiyo unavua shati upigane ni upumbavu mtupu.Walimuogopa sana yule jamaa.
Tatizo utawala wa jiwe kila mtu alitakiwa kuimba mapambio ila Professor Assad MchaMungu wa kweli alikataa kuwa sehemu ya waimba mapambio.Asad alipaswa tena kufukuzwa kabisa hakufaa. Mi naona hata uteuzi walikosea kumteua mtu ambaye ni fundamentalist ambaye anaamini ktk kile anachoamini yeye.
Ndiyo maana mfumo ndiyo ulimuondoa wala siyo Dkt Magufuli. Ukikumbuka kuna hela fulani nadhani zilikuwa za kitengo yeye Asad akaomba azikague wakamuambia hapana utaratibu siyo huo, akakomaa ila kaenda kusoma ripoti asubuhi hakukuta kitu hahaha. Hii habari alisimulia yeye mwenyewe.
Kikubwa Asad siwezi kumtetea ni moja ya wasomi majanga wasiokuwa na mchango wa taifa. Kila jambo lina mipaka yake, halafu kibaya kabisa akawa anatumika kupindisha report.
Wapi nilipoandika Assad kavunja katiba. Umesoma ukaelewa ujumla wa comment ama umechagua vipengele/majina maalum kufikia tamati ya kuwa nimesema Assad kakosea?Katiba inatoa freedom of expression sasa ni wapi Professor Assad alivunja katiba?
rejea comment yangu ya juu niliyo i quote hapo labda utaelewa point yangu.Inasikitisha kuwa Assad alionewa lakini inasikitisha zaidi kuwa watu walishindwa kuhoji chochote kipindi cha Magufuli. Nina yakini kama Magufuli angekuwa hai leo hii, achilia mbali hukumu hata hiyo kesi isingesikilizwa.
Kama taifa tuna kubwa la kujifunza juu ya mustakabali wa maisha yetu. Ikiwa mahakama ambayo ni muhimili unaojitegemea unashindwa simamia haki kwa kuogopwa mtu mmoja, tujiulize wangapi walihukumiwa/waliwajibishwa pasi kuwa na hatia.
Kuna kina Assad wengi wataendelea kuwepo kupitia tawala zote zijazo endapo katiba haitobadilishwa. Mamlaka ya raisi yamekuwa makubwa mno kiasi cha kujisahau nae ni binadamu.
Magufuli was a dictator right? Reasons?
Utasikia aliwakandamiza upinzani.. okey vipi sahivi upinzani bado wamekandamizwa au kuna ishu wanasikilizia?
Ungesema hivi;Mimi nilichojifunza ni kuwa mahakama zetu zinasubiri.rais afe ndio ziseme amekosea au alikosea. Mahakama zinatoa hukumu kwa wafu na Sio walio hai. Kesi za walio Hai zinafunikwa hadi wafe ndio hukumu itoke. Kiufupi mahakama hazina weledi kwenye kutoa hukumu dhidi ya wenye mamlaka.
Natumai umejifunza kitu katika Maisha, hakuna mmiliki wa nchi au dunia ,ni Mungu pekee ndio mwenye mamlaka,tenda wema uishi kwa furaha na amaniHuwezi kwenda Marekani kulisema bunge letu eti ni dhaifu alafu wewe ukajibatiza eti ni muhimili na bado Magufuli akakuangalia tu.
Kimebadilika nini mkuu?Lakini haki imemlinda yule mtu ambaye hakupenda haki korona ilienda naye.
Hawakuwa wakishindana kwamba nani atatangulia kufa na nani atabaki? Kushindwa kwa Assad ni pale alipoachia ofisi.Na amekufa kweli kwa ushamba wake lakini Assad yupo anatamba mtaani na wakati wowote ule anaweza kuchaguliwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Hao wawili hawakuwa wakipatana toka Jiwe akiwa bado waziri hana hata dalili ya kuja kugombea urais, na wote walikutana ni viburi na watu wa visasi.Tatizo utawala wa jiwe kila mtu alitakiwa kuimba mapambio ila Professor Assad MchaMungu wa kweli alikataa kuwa sehemu ya waimba mapambio.
Hapo ndo kosa lake sio vinginevyo.
Kuidhihirisha CCM na vibaraka wake ukiwemo na wewe kuwa nchi haiongozwi na akili ya mtu bali sheria za nchi ndizo zinazowapa mamlaka viongozi kuongoza.Kimebadilika nini mkuu?
Heri tu kwa wale wenye akili mpaka leo makanisani tunashangilia kuwa tumemkanyaga shetani na watu wanacheza lakini uovu bado upo tu,tarehe 9/12/2022 itakuwa sikukuu ya Uhuru na Jamhuri na husherekewa kila mwaka lakini mkoloni CCM yupo,hata sisi tunashangilia kufa kwa dhalimu Magufuri ingawa kifo kipo palepale,alijiona hawezi kufa amekufa na watu wanafurahia matunda ya uhuru wao yeye analiwa na mchwa na haitatokea tena Tanzania kuweka mtu kama Magufuri kila mtu amejifunza,ccm wenyewe wamejifunza.Hawakuwa wakishindana kwamba nani atatangulia kufa na nani atabaki? Kushindwa kwa Assad ni pale alipoachia ofisi.
Wow!!!Asad alipaswa tena kufukuzwa kabisa hakufaa. Mi naona hata uteuzi walikosea kumteua mtu ambaye ni fundamentalist ambaye anaamini ktk kile anachoamini yeye.
Ndiyo maana mfumo ndiyo ulimuondoa wala siyo Dkt Magufuli. Ukikumbuka kuna hela fulani nadhani zilikuwa za kitengo yeye Asad akaomba azikague wakamuambia hapana utaratibu siyo huo, akakomaa ila kaenda kusoma ripoti asubuhi hakukuta kitu hahaha. Hii habari alisimulia yeye mwenyewe.
Kikubwa Asad siwezi kumtetea ni moja ya wasomi majanga wasiokuwa na mchango wa taifa. Kila jambo lina mipaka yake, halafu kibaya kabisa akawa anatumika kupindisha report.
Kws hiyo Zitto alikwenda mahskamani kwa ajiri ya nini?Magufuli hakumfukuza kazi Asaad. Alichofanya ni kutokumpa mkataba wa pili pale mkataba wa kwanza ulipoisha. Na sheria ya National Audit Act ilimruhusu Magufuli kufanya hayo. Na hiyo sheria ilitungwa na kupitishwa kabla Magufuli hajawa Rais wa JMT. Walichosema High Court ni kwamba hiyo sheria inapingana na Katiba. Hapo Magufuli kosa lake ni lipi? Hiyo sheria hakuitunga yeye mbona?
Hujui kitu wewe. Unaongea kwa mihemko.Na amekufa kweli kwa ushamba wake lakini Assad yupo anatamba mtaani na wakati wowote ule anaweza kuchaguliwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Unazalilika =unadhalilikaMagufuli tabia zako ulizoishi hapa duniani sasa unazalilika sana kila ulichofanya kibaya kimetinduliwa wakiwemo vibwengo wako mapunda na clock bad.
Mbona uwezo wako wa kuchambua mambo ni mdogo namna hii!!!Sometimes kiongozi anavunja katiba Kwa Benefits za watu wengi so hakuna shida
Sidhan kama magu alimtoa bila kosa, lazima kulikuwa na makosa
And possibly yangegharimu uongozi wake and sio kila kitu cha kutolea maelezo Kwa wanainchi
Wewe sio mjinga Bali niAsad alipaswa tena kufukuzwa kabisa hakufaa. Mi naona hata uteuzi walikosea kumteua mtu ambaye ni fundamentalist ambaye anaamini ktk kile anachoamini yeye.
Ndiyo maana mfumo ndiyo ulimuondoa wala siyo Dkt Magufuli. Ukikumbuka kuna hela fulani nadhani zilikuwa za kitengo yeye Asad akaomba azikague wakamuambia hapana utaratibu siyo huo, akakomaa ila kaenda kusoma ripoti asubuhi hakukuta kitu hahaha. Hii habari alisimulia yeye mwenyewe.
Kikubwa Asad siwezi kumtetea ni moja ya wasomi majanga wasiokuwa na mchango wa taifa. Kila jambo lina mipaka yake, halafu kibaya kabisa akawa anatumika kupindisha report.
Vifaa vya jeshi ni siri?What if 1.5 zilinunua vifaa vya jeshi?
Kwani ni lazima yy ambiwe? But magu sio mjinga amtoe Kwa kuhoji 1.5 lazima kuna kitu na sio muhimu Sisi kujua, as long as mambo yameenda vizuri