Tunajifunza nini juu ya kesi ya Prof. Assad?

Tunajifunza nini juu ya kesi ya Prof. Assad?

Heri tu kwa wale wenye akili mpaka leo makanisani tunashangilia kuwa tumemkanyaga shetani na watu wanacheza lakini uovu bado upo tu,tarehe 9/12/2022 itakuwa sikukuu ya Uhuru na Jamhuri na husherekewa kila mwaka lakini mkoloni CCM yupo,hata sisi tunashangilia kufa kwa dhalimu Magufuri ingawa kifo kipo palepale,alijiona hawezi kufa amekufa na watu wanafurahia matunda ya uhuru wao yeye analiwa na mchwa na haitatokea tena Tanzania kuweka mtu kama Magufuri kila mtu amejifunza,ccm wenyewe wamejifunza.
Hakuwahi kusema hatokufa, halafu huwa nauliza kimebadilika nini cha maana toka aondoke au ndio Mzee makamba kuongea kwa dharau?
 
mihimili ya kutoa haki ni dhaifu. mahakama dhaifu,Bunge dhaifu,serikali dhaifu,wananchi dhaifu.
akuna penye unafuu wa kunusuru taasisi nyingine.
 
mihimili ya kutoa haki ni dhaifu. mahakama dhaifu,Bunge dhaifu,serikali dhaifu,wananchi dhaifu.
akuna penye unafuu wa kunusuru taasisi nyingine.
kama mahakama ni dhaifu isinge toa maamuzi kama hayo, nadhani hiyo hukumu ni kielelezo tosha cha uhuru wa mahakama.
 
kama mahakama ni dhaifu isinge toa maamuzi kama hayo, nadhani hiyo hukumu ni kielelezo tosha cha uhuru wa mahakama.
Tatizo ni Katiba imekaa vibaya. Inasema eti CAG afanye kazi hadi kustaafu, kipi cha mno? Hata Katani au Mwalimu au Padri unapoanza kazi ni hadi kustaafu. Hakuna jipya halo. Kisheria hii huitwa truism, it goes without saying. Sheria imesema atateul8wa kwackipindi cha miaka 5 ila anaweza kuongezwa tena miaka 5. Hii ni sheria ya Kihasibu, huwezi kuoditi mahesabu hayo hayo zaidi ya miaka mitatu. Prof Assad ni dhaifu kihasibu, ni bookish knowledge hajawahi kufanya audit, alikuwa ni mwalimu tu.
 
Shida ya vijana wa generation yetu ni kujiona ana haki ya kujua kila kitu na kila maamuzi ambayo serikali inafanya

Hata kama ww ni mzazi uwez kuwambia watoto wako kila unachotaka kufanya kwenye maisha yao

Mambo mengine serikali ikiamua no need kuhoji
serikali ninini? vipi siku ikiamua mambo yenye madhara kwa wananchi je wasihoji? serikali iliyochaguliwa na wapiga kura isihojiwe na wapiga kura? you must think beyond
 
Magufuli tabia zako ulizoishi hapa duniani sasa unazalilika sana kila ulichofanya kibaya kimetinduliwa wakiwemo vibwengo wako mapunda na clock bad.
Ni ujuha kusema Magu anadhalilika.
Yani walio hai wanavunja katiba kweupe na mnakenua menotu kusifia.

Niupumbavu kushindana na mtu aliekufa alafu eti unafurahiya kwamba umemshinda, you must be crazy.
 
serikali ninini? vipi siku ikiamua mambo yenye madhara kwa wananchi je wasihoji? serikali iliyochaguliwa na wapiga kura isihojiwe na wapiga kura? you must think beyond

Baba yako aliekuzaa na kukulea Tu uwez kumhoji sembuse kiongozi uliemchagua?
 
Baba yako aliekuzaa na kukulea Tu uwez kumhoji sembuse kiongozi uliemchagua?
kwahiyo serikali ni baba? vipi kiongozi wa serikali ya kijiji akitaka kuuza sehemu tunapozikiwa je tusimhoji kwakuwa naye ni serikali au unamanisha nini haswa?
Kuhoji ni kujenga maridhiano na ushawishi. Taifa lenye watu wasio hoji na kudadisi ni taifa MFU
Unapenda kuwa sehemu ya taifa MFU?
Kwanba mwanafunzi anasoma chuo kikuu akihoji hatima yake ya ajira baada ya kuhitimu ANATUMIKA hivyo anyamaze tu kwakuwa serikali isiyokuwa na majibu juu ya ajira kwa watu wake ni baba?
Taifa la hewala baba?
 
kwahiyo serikali ni baba? vipi kiongozi wa serikali ya kijiji akitaka kuuza sehemu tunapozikiwa je tusimhoji kwakuwa naye ni serikali au unamanisha nini haswa?
Kuhoji ni kujenga maridhiano na ushawishi. Taifa lenye watu wasio hoji na kudadisi ni taifa MFU
Unapenda kuwa sehemu ya taifa MFU?
Kwanba mwanafunzi anasoma chuo kikuu akihoji hatima yake ya ajira baada ya kuhitimu ANATUMIA hivyo anyamaze tu kwakuwa serikali isiyokuwa na majibu juu ya ajira kwa watu wake ni baba?
Taifa la hewala baba?

Kaka uko Africa! Hapa sio ulaya au US

Africa mpaka pumzi yako inaamuliwa na viongozi

Sometimes serikali inaumiza watu flan ili watu wengine wapate nafuu

Au inaingia makubaliano flan ambayo yataumiza watu Kwa ajili ya watu wengine

No kuhoji in Africa,
 
Kama kina mandela wangeamini haya kwakuwa wapo Africa leo makaburu ambao nao ni wafrica mkuu SA ingekuwa wapi?
 
Tatizo ni Katiba imekaa vibaya. Inasema eti CAG afanye kazi hadi kustaafu, kipi cha mno? Hata Katani au Mwalimu au Padri unapoanza kazi ni hadi kustaafu. Hakuna jipya halo. Kisheria hii huitwa truism, it goes without saying. Sheria imesema atateul8wa kwackipindi cha miaka 5 ila anaweza kuongezwa tena miaka 5. Hii ni sheria ya Kihasibu, huwezi kuoditi mahesabu hayo hayo zaidi ya miaka mitatu. Prof Assad ni dhaifu kihasibu, ni bookish knowledge hajawahi kufanya audit, alikuwa ni mwalimu tu.
Duuh wew jamaa kwahio kichere yule mnae mmudu ndio mnaona raha eeti eeeh

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
 
Duuh wew jamaa kwahio kichere yule mnae mmudu ndio mnaona raha eeti eeeh

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
Ishu siyo Kihere wala kumudu, sissies sheria inasemaje. Inasema ATATEULIWA NA RAIS KWA KIPINDI CHA MIAKA MITANO ILA ANAWEZA KUONGEZEWA KIPINDI KINGINE KISICHOZIDI MIAKA MITANP. Alichofanya Magu ndicho sheria inavyosema. Wasaliti wetu wanakimbulua Katiba, inayosema atafanya kazi yake hadi umri wa KUSTAAFU? Mie mbona sioni cha mno? Kila mtu aliyeajirowa serkalini hufanya kazi HADI kustaafu; yaani hivi ndivuo.ilivyo kwa watumishi wote wa umma? Kipi cha ziada? Hamna mkanyiko na sheria inayompa terms mbili, kama umri ukimfika wakati yuko Muhul wa Kwanza, sheria ni nzuri kwakwe kwa vile attendees hadi kumaliza miaka 10 yake ya uteuzi hata kama kafika u.ri wa kustaafu. Wajinga wanaisoma vibaya hii Katiba, akiteuliwa kuwa CAG akiwa na miak 20 ina maana atKuwa CAG kwa miaka 40? Kihasibu hairuhurusiwa kuwa mkaguzi zaidi ya miaka 3 ingawa shareholders wanaweza kwa kupiga kura kukuruhusu uongeze miaka mingine 3 au kupitiliza umri wa kustaafu. Kitu wasichojua wasaliti wetu ni kuwa CAG si Muhimili, ni ajira tu sawa na Karani. Hata Jaji hawezi kufukuzwa kazini, na CAG hivo hivo lakini si muhimili. Tusubiri rufaa ya zittokabwe ana blungutu la petrollars za mabeberu.
 
Back
Top Bottom