Victor wa happy
JF-Expert Member
- Apr 24, 2013
- 11,660
- 11,659
Ccm sio chama cha siasa ni chama dola kukitoa inabidi wazee wa mabaka mabaka waunge mkono chama mbadala chadema
Tupiganie kupata tume huru ya uchaguzi hakika ataondoka tuWadau kwema?
Hivi wadau sisi kama binadamu wa karne ya 21 tumekubali kabisa CCM watutawale miaka 30+?Ujanja woteee tulio nao tumefeli miaka yote hiii? Kwanza naamini humu JF wapinzani ni wengi kuliko CCM, tunashindwa nini?
OK, kuna jibu moja ambalo liko popular miaka yote eti vijijini watu wengi hawajasoma wanajua bado nyerere anatawala na CCM yake,nakwambia si kweli.Nimezunguka vijiji vingi tena interior haswa wanajua Mbowe ni nani na Magufuli ni nani.
The main problem iko hapa:UCHAGUZI tunaibiwa.Tusipo kuwa makini tutakuwa ruled na CCM for another 30 years!tutakuwa ni watu wa kulalamika kimya kimya miaka yote hiii? Tazama leo tumepigwa nakos za uso huko Arumeru tumetulia tu as if we are in the 20th century. Damn!
Ajitokeze mtu hapa atuambie tunashindaje 2020 maana tunatofautiana kimawazo.Tuchukue hata awamu moja tukifeli basi warudi CCM.Ninachoamini mimi nchi ya kidemokrasia inayotawaliwa kwa miaka zaidi ya 30 na chama kimoja maana yake watu wa nchi hiyo bado ni wafungwa hawajawahi kuwa "nje ya box".
Unafikiri ni kwa nini wananchi wa marekani wanajiamini nchini kwao? Sababu wanajua mtawala atakapoleta ujinga atatoka for sure regardless of his /her political party.
Angalia sisi tulivyo waoga ni kwa sababu hatujawahi kuwajibisha utawala kwa kuweka madarakani chama kingine.Ikitokea hii utaona namna watanzania watakavyo kuwa confident.Tumekata tamaa, tumekata tamaa.Majuzi nilikuwa naongea na group la jamaa zangu fulani wanasema hata ufanyaje sa hv huwezi kubadili siasa ya CCM.
Ikishindikana kwa njia ya kura tunaweza kufanyaje? Wasomi tuambieni.Fikiria chama cha upinzani kimechukua nchi mizizi yote ya CCM toka 1970s hadi leo itakavyo wakost CCM kuing'oa kumsafishia ofisi mpinzani, CCM wakifikiria hilo wanachanganyikiwa ndio maana wanatumia nguvu kubwa.
Hivi sisi tuliopo JF,twitter, Facebook, Instagram, whatsapp etc hatuwezi kuwa chachu kwa wengine?
Ni aibu kwa kweli 30yrs+ bado tuko na chama kimoja?China wanaweza kuwa na justification ingawa ni chama kimoja leo ni second world economy.Tanzania ni economy ya ngapi? Mtu aliyekufa mwaka 80 akifufuka leo anamkuta CCM bado yupo.Tuna tabaka la vijana wengi waliosoma kuliko miaka mingine yote, tunafeli wapi? Tutafute muarobaini. Nipe mawazo yako alafu niambie hapa wewe ni MPINZANI au CCM niweke kura yako.
Tumechoka na CCM.
Mbowe 2020 ataharibu zaidi kuliko alivyoharibu 2015 atatoa maamuzi ya kubadili gia baharini na Chombo kitazama kabisa.
Mana kilibadili gia angani kikaangukia Baharini , bado kinatapatapa baharini.
Akiendelea 2020 atabadili gia baharini na kuzamisha kabisa Chadema.
Hakuna Mtu mwenye akili Timamu atakayepigania kura za Chadema kwa ajili ya Fisadi.
Bora Twende na ACT Chadema ikae makumbusho na Mbowe.
Hata Jimboni kwake na kanda ya Kaskazini imelemaa kabisa kwa sababu ya Ulemavu na udhaifu wa Mbowe kisiasa.
Zile amamsha amsha za Dr. Slaa ziko wapi!
Mbowe hajiulizi tu kuwa ni kwa nini watu wanataka urais na Chama apewe Lisu aliyeko Hospitalni wakati yeye yupo na ni Mzima was afya. Watu wanatamani Mgonjwa aje hata kesho apewe Chama na Nchi.
Tafsiri yake watu kama taifa sio Chadema pekee wamemchoka sana Mbowe.
Kuna siku Mbowe aliteleza akataja neno demokrasia kwenye Tamko la vyama juu ya kesi waliyofungua ya kupinga sheria ya Msajili.
Alibabaika sana namna ya kulikwepa hilo neno Demokrasia.
Tafuta Clip yake umfuatilie. Usione kuwa tunampinga na hata kumchukia sana Mbowe sio kwa sababu ya Uenyekiti tu Bali kwa dhamira yake Mbaya iliyopo moyoni Mwake.
Huwezi kujenga Chama kwa misingi ya uongo,udikteta,ukabila,udini,vitisho, hasira, hujuma kwa vyama vingine tena vichanga kabisa halafu ukategemea kuwa watakuunga mkono.
Demokrasia ikishamiri ndani ya Chadema hakika na kuambia hata CCM itapukutika, na vyama vingine vitaona mahali pa kukimbilia.
Hivi Zito yupi atakayeiunga mkono Chadema chini ya Mbowe aliyetengeneza kila aina ya hila ili afukuzwe bila huruma ndani ya Chama alichokipigania kwa UDI na uvumba akijua iko Siku atakipeleka mbele zaidi.
Nakumbuka Kwenye kampeni za uchaguzi kule Tabora Zito alivyokua anawanyima usingizi CCM kwa nyomi ya vijana huku akichoma T-shirt za CCM.
Zito ana Nyota ya kung' aa sana kuliko Mbowe anayefuga midevu ya bangi mm... e z.ke.
Mbowe haaminiki kama alimsababishia Mtatiro kukosa Ubunge na wakalikosa wote hakika 2020 kila Chama kitakua na mgombea wake sio kuungana na kuiachia Chadema na Chadema Chini ya Mbowe hata kubali kuwaachia wengini mana wote ni wachanga.
Lisu asikubali kupoteza Muda wake kugombea Urais Chini ya Mwenyekiti Mbowe kwa kuwa atapoteza Ubunge wake huku Mwenzake akipiga hela kutokana na Uenyekiti wa Chama na Ubunge na Msemaji wa kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni.
Mbowe aache utapeli tujenge nchi kwa kujenga imani ya Chama kwa wapiga kura.
Mbowe akae pembeni aone Chama kikijengwa na wenye nia njema.
Tajiri kamwe hajawahi kuwapigania Maskini. Ukiona hivyo ujue kuna Faida ameiona.
Nchi hii ni Lazima vyama hivi viongozwe na watu waliotoka from ziro to hiro kama Magufuli, Zito, Lisu,Mnyika ,Juma Mwalim, n.k. Lakini sio kuongozwa na mzaliwa wa masaki asiyejua shida za watanzania zaidi ya kuwaza ufahari na Kuponda Ruzuku na wanawake.
Bora CCM iendelee miaka 1000 kuliko Chadema Chini ya Mbowe tutajuta sana mana nchi itaendeshwa anavyotaka yeye bila hofu yoyote na mauaji yatakua makubwa sana kwa wale asiowapenda. Mbowe Ni mtu hatari kwa usalama wa wanyonge kuliko kitu chochote unachokijua duniani.
Kuifananisha Amerika na Tanzania kwa hatua nchi hizi mbili zilizopitia ni Makosa makubwa sana.
Amerika ime-advance many years ago.
Tuache hayo,wewe kama wewe unawazo gani kuhusu kuitoa ccm madarakani ,tuanze na mtizamo wako kwanza,
Maana kwa upinzani huu wa hawa wachumia tumbo sahau,
okay, kwa hio sasa tufanyeje?Hvi wewe unaweza kukata tawi la mti huku ukiwa umekaa kwenye hilo tawi la juu kabisa? Moja ya nguzo kubwa inayoiweka CCM madarakani si police kama watu wengi wanadhani. Nguvu kubwa inayoiweka CCM madarakani ni Katiba yetu ya sasa. Inampa rais wa JMT madaraka mengi na makubwa sana na rais ni mwenyekiti wa CCM na pia huwa ni mgombea wa kiti cha urais. Sasa wewe unadhani huyo rais na mwenyekiti wa chama atakuwa tayari kubadili katiba ya nchi ambayo kimsingi ndiyo inampa hiyo nguvu ya ushindi wa kuendelea kuwa madarakani? CHINI YA SERIKALI YA CCM HAKUNA KATIBA MPYA! NI KUZIBA TU VIRAKA KAMA KUTATOKEA TOBO AMBALO LINAWAHUSU NA KUHATARISHA MASILAHI YA CHAMA NA SERIKALI.
Wewe akili zako hazikutoshi, tuanongelea kuitoa ccm, madarakani wewe unasema ni sawa ma kuchezea amani ndani ya shimo la choo, nini maana yake?Kujadili kuitoa Ccm Mamlakani ni sawa na kuchezea Amani kwenye Tundu la choo
Lengo liwe kuwa na upinzani imara.Kutoka kwa CCM iwe ni matokeo ya ziada.Lengo kuu ni kuwa na chachu ya maendeleo ambayo italetwa na upinzani imara.Wadau kwema?
Hivi wadau sisi kama binadamu wa karne ya 21 tumekubali kabisa CCM watutawale miaka 30+?Ujanja woteee tulio nao tumefeli miaka yote hiii? Kwanza naamini humu JF wapinzani ni wengi kuliko CCM, tunashindwa nini?
OK, kuna jibu moja ambalo liko popular miaka yote eti vijijini watu wengi hawajasoma wanajua bado nyerere anatawala na CCM yake,nakwambia si kweli.Nimezunguka vijiji vingi tena interior haswa wanajua Mbowe ni nani na Magufuli ni nani.
The main problem iko hapa:UCHAGUZI tunaibiwa.Tusipo kuwa makini tutakuwa ruled na CCM for another 30 years!tutakuwa ni watu wa kulalamika kimya kimya miaka yote hiii? Tazama leo tumepigwa nakos za uso huko Arumeru tumetulia tu as if we are in the 20th century. Damn!
Ajitokeze mtu hapa atuambie tunashindaje 2020 maana tunatofautiana kimawazo.Tuchukue hata awamu moja tukifeli basi warudi CCM.Ninachoamini mimi nchi ya kidemokrasia inayotawaliwa kwa miaka zaidi ya 30 na chama kimoja maana yake watu wa nchi hiyo bado ni wafungwa hawajawahi kuwa "nje ya box".
Unafikiri ni kwa nini wananchi wa marekani wanajiamini nchini kwao? Sababu wanajua mtawala atakapoleta ujinga atatoka for sure regardless of his /her political party.
Angalia sisi tulivyo waoga ni kwa sababu hatujawahi kuwajibisha utawala kwa kuweka madarakani chama kingine.Ikitokea hii utaona namna watanzania watakavyo kuwa confident.Tumekata tamaa, tumekata tamaa.Majuzi nilikuwa naongea na group la jamaa zangu fulani wanasema hata ufanyaje sa hv huwezi kubadili siasa ya CCM.
Ikishindikana kwa njia ya kura tunaweza kufanyaje? Wasomi tuambieni.Fikiria chama cha upinzani kimechukua nchi mizizi yote ya CCM toka 1970s hadi leo itakavyo wakost CCM kuing'oa kumsafishia ofisi mpinzani, CCM wakifikiria hilo wanachanganyikiwa ndio maana wanatumia nguvu kubwa.
Hivi sisi tuliopo JF,twitter, Facebook, Instagram, whatsapp etc hatuwezi kuwa chachu kwa wengine?
Ni aibu kwa kweli 30yrs+ bado tuko na chama kimoja?China wanaweza kuwa na justification ingawa ni chama kimoja leo ni second world economy.Tanzania ni economy ya ngapi? Mtu aliyekufa mwaka 80 akifufuka leo anamkuta CCM bado yupo.Tuna tabaka la vijana wengi waliosoma kuliko miaka mingine yote, tunafeli wapi? Tutafute muarobaini. Nipe mawazo yako alafu niambie hapa wewe ni MPINZANI au CCM niweke kura yako.
Tumechoka na CCM.
Hakuna kitu kama hicho, Libya Ghadafi ndio hakuandaa mazingira mazuri ya watu wake. Unajua ukisha jiona Mungu mtu lazima mambo yatakuhalibikia tu.Kule Tripoli Libya wakati wa Ghadafi walikuwa wakiambiwa issue za amani walikuwa wana kejeli kama wewe sasa hivi Shughuli wanaipata
Tatizo hakuna Chama Mbadala!! Sasa niambie tuiondoe CCM tuweke chama gani? Chadema??!! Kama ruzuku tu imewaishinda sembuse nchi!! Si watakopeshana raslimari zetu zote!!?? Halafu nani anaweza kutuongoza huko kwenye chama mmbadala? Mbowe, Lema, Msigwa? Hatufanyi majaribio. Tusubiri kikipatikana chama mmbadala na ninafikiri kitatoka ndani ya CCM na sivinginevyo!Wadau kwema?
Hivi wadau sisi kama binadamu wa karne ya 21 tumekubali kabisa CCM watutawale miaka 30+?Ujanja woteee tulio nao tumefeli miaka yote hiii? Kwanza naamini humu JF wapinzani ni wengi kuliko CCM, tunashindwa nini?
OK, kuna jibu moja ambalo liko popular miaka yote eti vijijini watu wengi hawajasoma wanajua bado nyerere anatawala na CCM yake,nakwambia si kweli.Nimezunguka vijiji vingi tena interior haswa wanajua Mbowe ni nani na Magufuli ni nani.
The main problem iko hapa:UCHAGUZI tunaibiwa.Tusipo kuwa makini tutakuwa ruled na CCM for another 30 years!tutakuwa ni watu wa kulalamika kimya kimya miaka yote hiii? Tazama leo tumepigwa nakos za uso huko Arumeru tumetulia tu as if we are in the 20th century. Damn!
Ajitokeze mtu hapa atuambie tunashindaje 2020 maana tunatofautiana kimawazo.Tuchukue hata awamu moja tukifeli basi warudi CCM.Ninachoamini mimi nchi ya kidemokrasia inayotawaliwa kwa miaka zaidi ya 30 na chama kimoja maana yake watu wa nchi hiyo bado ni wafungwa hawajawahi kuwa "nje ya box".
Unafikiri ni kwa nini wananchi wa marekani wanajiamini nchini kwao? Sababu wanajua mtawala atakapoleta ujinga atatoka for sure regardless of his /her political party.
Angalia sisi tulivyo waoga ni kwa sababu hatujawahi kuwajibisha utawala kwa kuweka madarakani chama kingine.Ikitokea hii utaona namna watanzania watakavyo kuwa confident.Tumekata tamaa, tumekata tamaa.Majuzi nilikuwa naongea na group la jamaa zangu fulani wanasema hata ufanyaje sa hv huwezi kubadili siasa ya CCM.
Ikishindikana kwa njia ya kura tunaweza kufanyaje? Wasomi tuambieni.Fikiria chama cha upinzani kimechukua nchi mizizi yote ya CCM toka 1970s hadi leo itakavyo wakost CCM kuing'oa kumsafishia ofisi mpinzani, CCM wakifikiria hilo wanachanganyikiwa ndio maana wanatumia nguvu kubwa.
Hivi sisi tuliopo JF,twitter, Facebook, Instagram, whatsapp etc hatuwezi kuwa chachu kwa wengine?
Ni aibu kwa kweli 30yrs+ bado tuko na chama kimoja?China wanaweza kuwa na justification ingawa ni chama kimoja leo ni second world economy.Tanzania ni economy ya ngapi? Mtu aliyekufa mwaka 80 akifufuka leo anamkuta CCM bado yupo.Tuna tabaka la vijana wengi waliosoma kuliko miaka mingine yote, tunafeli wapi? Tutafute muarobaini. Nipe mawazo yako alafu niambie hapa wewe ni MPINZANI au CCM niweke kura yako.
Tumechoka na CCM.
Mbona walishajaribu wakafyekelewa mbali. Kumbuka Ikwiriri na mizoga ya bahariniDawa ni kuunda vikundi vya waasi na ugaidi. Hapo serikali itageuka na kuwa "sikivu"
Kule Tripoli Libya wakati wa Ghadafi walikuwa wakiambiwa issue za amani walikuwa wana kejeli kama wewe sasa hivi Shughuli wanaipata
Tatizo hakuna Chama Mbadala!! Sasa niambie tuiondoe CCM tuweke chama gani? Chadema??!! Kama ruzuku tu imewaishinda sembuse nchi!! Si watakopeshana raslimari zetu zote!!?? Halafu nani anaweza kutuongoza huko kwenye chama mmbadala? Mbowe, Lema, Msigwa? Hatufanyi majaribio. Tusubiri kikipatikana chama mmbadala na ninafikiri kitatoka ndani ya CCM na sivinginevyo!
Nani mtajeYeyeto tu hata mgombea binafsi. Mbona wapo wengi tu wanaweza tuongoza
SI ndio maama Nigeria 5 Serengeti 4Kujadili kuitoa Ccm Mamlakani ni sawa na kuchezea Amani kwenye Tundu la choo
Hivi point ni kuitoa tu ccm maana unaweza ukaitoa ccm na bado sie wananchi tusifaidike na lolote,kwa jinsi tulivyo watanzania nachokiona tunaficha udhaifu wetu kwa kudai tatizo ni ccm kuendelea kuwepo madarakani.
Kwa jinsi ccm inavyozungumziwa ni ajabu bado ina wapenzi ambao ni wafia chama,kwa hali hii inavunja hata nguvu ya kulalamika kuiba kura kwa ccm,tuanze kubadilika kabla ya kubadili chama.