cheguevara
JF-Expert Member
- Apr 30, 2012
- 1,348
- 653
Jitokeze hadharani sasa uwatetee wananchi tukuunge mkonoWe amani unaitafsiri vipi? Unajua watu wangapi wanakufa without any record au investigation?Is that peace to you?

kuitoa CCM madarakani ni ngumu kwasababu;
1.upinzani wao kwa wao hawana umoja
2.hawajitangazi mfano ukienda vijijini chama cha upinzani ambacho kinajulikana labda ni chadema vingine hola
3.hawana mipango mikakati endelevu wapo wapo tu wanasubiri CCM waongee wao wa crush
sababu zipo nyingi hizo ni baadhi tu nisije nikawapa zote mkashinda ilihali bado ni wachanga kwenye siasa
Umechambua vizur sana mkuu. Nakupa heshima ya juu. Nakubaliana na ww kwa mengi uliyobainisha.Heshima kwako!!
Ukombozi hakika unakaribia.
Uliyoyasema ndiyo hasa yanayofanyika nimekua nikijiuliza sana hivi haya watu wanayajua?.
Nimeona sasa watu wameanza kujua ukweli.
Hapo kwenye udini na Ukabila hua ni Janga kubwa sana.
Zito alifukuzwa Chadema kwa sababu ya udini na ukabila Lowasa alipigwa vita kwa sababu ya udini na ukabila.
Lipumba alipingwa kwa sababu ya udini.
Yani Tanzania hatuchagui au kuandaa kwa Sera hasa ndani ya Vyama?
Lakini pia tujiulize tunaitoa CCM na kuweka Chama kipi?
Mana vyote vinaongozwa kidikteta kuliko hata CCM.
Huwezi kuitoa CCM yenye pesa zote za Hazina na dola yote na nafasi zote za kugawa vyeo vyenye maslahi makubwa wakati huo huo tumeshindwa kumtoa kwenye uenyekiti mtu mmoja aliyefeli na kupata sifuri darasa la kumi na NNE anayeitwa Mbowe.
Tungewabadili kwanza Watu kama akina Mbowe kidemokrasia ndipo ingetokea nji sahihi ya kumpata Nabii wa kutuvusha.
Bado tunang'ang'ania kupanda kwa kutumia ngazi fupi isiyofika kwenye tawi la mti wa matunda.
Dawa ni kubadili ngazi na kuweka ngazi nyingine ndefu zaidi.
Bila Demokrasia ndani ya vyama hatutaweza kamwe kufikia Demokrasia ya kweli.
Ndio maana namchukia sana Mbowe mana amejenga mazingira Yale Yale ya CCM ndani ya Chadema na upinzani.
Kwa Sasa Juma Mwalimu anafaa kabisa kukabidhiwa Chama lakini ukabila utamnyima ,Heche anafaa sana lakini ukabila bado upo Chadema ya Mbowe.
Kuna ugumu gani kwa chadema kuweka katiba inayomshughulikia Mwenyekiti yeyote atakayechukua nafasi ya Mbowe kama ataonekana kupwaya?
Woga wa kumtoa Mbowe ndio uliojijenga kwa wananchi na kushinda kuitoa CCM.Wanaogopa vyama vingine.
Ukiangalia kwenye udini lazima ujiulize ,Je,Waislam waliokua wanaisema sana serikali ya CCM kuwa imejaa uonevu na inawaonea Waislam na kutowasikiliza malalamiko yao leo wako wapi?
Au wanasubiri ninic?
Kwa nini wasiendelee na harakati zao kama zilikua na nia njema?
Bila shaka walikua wanatumiwa na watu ndani ya au nje ya CCM ili kutafuta nafasi za kiutawala. Suala halikua ni dini bali madaraka.
Wakati Waislam walipokua wanalalamika Mara kwa Mara Kwa wakristo walisahau kuwa Kuna Tatizo kwenye katiba inayosababisha watu wanalalamika kutokana na watu wote kutegemea kutendewa hisani na Mtu mmoja as if he/ she is a living God anayegawa riziki.
Watu wakafikia mahali wanahesabu idadi ya wateuliwa kwa kuangalia dini badala ya uwezo wa mtu.
Yote hayo ni mifumo mibovu ya Katiba iliyoasisiwa na CCM na kuendelezwa kama Imani.
Kuna madhehebu wanaichukulia CCM kama Chama kilichoanzishwa na manabii na watakatifu toka mbinguni na hakistahili kunyima kura hata kama.
Hawa ni tatizo pia kwenye kuleta mabadiliko na kujenga Taifa la kidemokrasia linaloshindana kwa hoja za kimaendeleo badala ya kutafuta vyeo na maslahi.
Swali zuri sana lakini mitazamo yako ya Kwa nini tunashindwa kuitoa CCM madarakani ndio chanzo cha kushindwa kuitoa CCM madarakaniWadau kwema?
Hivi wadau sisi kama binadamu wa karne ya 21 tumekubali kabisa CCM watutawale miaka 30+?Ujanja woteee tulio nao tumefeli miaka yote hiii? Kwanza naamini humu JF wapinzani ni wengi kuliko CCM, tunashindwa nini?
OK, kuna jibu moja ambalo liko popular miaka yote eti vijijini watu wengi hawajasoma wanajua bado nyerere anatawala na CCM yake,nakwambia si kweli.Nimezunguka vijiji vingi tena interior haswa wanajua Mbowe ni nani na Magufuli ni nani.
The main problem iko hapa:UCHAGUZI tunaibiwa.Tusipo kuwa makini tutakuwa ruled na CCM for another 30 years!tutakuwa ni watu wa kulalamika kimya kimya miaka yote hiii? Tazama leo tumepigwa nakos za uso huko Arumeru tumetulia tu as if we are in the 20th century. Damn!
Ajitokeze mtu hapa atuambie tunashindaje 2020 maana tunatofautiana kimawazo.Tuchukue hata awamu moja tukifeli basi warudi CCM.Ninachoamini mimi nchi ya kidemokrasia inayotawaliwa kwa miaka zaidi ya 30 na chama kimoja maana yake watu wa nchi hiyo bado ni wafungwa hawajawahi kuwa "nje ya box".
Unafikiri ni kwa nini wananchi wa marekani wanajiamini nchini kwao? Sababu wanajua mtawala atakapoleta ujinga atatoka for sure regardless of his /her political party.
Angalia sisi tulivyo waoga ni kwa sababu hatujawahi kuwajibisha utawala kwa kuweka madarakani chama kingine.Ikitokea hii utaona namna watanzania watakavyo kuwa confident.Tumekata tamaa, tumekata tamaa.Majuzi nilikuwa naongea na group la jamaa zangu fulani wanasema hata ufanyaje sa hv huwezi kubadili siasa ya CCM.
Ikishindikana kwa njia ya kura tunaweza kufanyaje? Wasomi tuambieni.Fikiria chama cha upinzani kimechukua nchi mizizi yote ya CCM toka 1970s hadi leo itakavyo wakost CCM kuing'oa kumsafishia ofisi mpinzani, CCM wakifikiria hilo wanachanganyikiwa ndio maana wanatumia nguvu kubwa.
Hivi sisi tuliopo JF,twitter, Facebook, Instagram, whatsapp etc hatuwezi kuwa chachu kwa wengine?
Ni aibu kwa kweli 30yrs+ bado tuko na chama kimoja?China wanaweza kuwa na justification ingawa ni chama kimoja leo ni second world economy.Tanzania ni economy ya ngapi? Mtu aliyekufa mwaka 80 akifufuka leo anamkuta CCM bado yupo.Tuna tabaka la vijana wengi waliosoma kuliko miaka mingine yote, tunafeli wapi? Tutafute muarobaini. Nipe mawazo yako alafu niambie hapa wewe ni MPINZANI au CCM niweke kura yako.
Tumechoka na CCM.
Wengi wape. Kama mko wachache kura zenu hazitoshi.Wadau kwema?

Shukran mkuu. Ila usikose kueneza elimu ya uraia na uzalendo huko uliko. Elimu ya mapinduzi ya kweli yapaswa kuenea kote. Mchwa waendwlea kushamblia kwa kasi kubwa sanaKunywa soda mkuu nitakuja kulipa
Hiyo ni transition period tu hata mataifa yaliyoendelea yalipitia huko huko, dawa kuwatoa kwanza madikteta alafu mipango baadae.Ukisema mjipange kupata taasisi imara ndani ya CCM ndio muitoe mtajipanga mpaka lini? Itakuwa ni ndoto, hizo nchi ulizozitaja zitakuja kusimama vizuri tu, hivi mtu kama Yahya jammeh ulitaka aendelee tu kuwepo madarakani kule Gambia? Inabidi ufike muda tuseme enough is enough.Huko kote ulipotaja kuna nini wamekipata baada ya hayo Mapinduzi?
Libya wanachinjana kama Mbuzi Kule Vingunguti
Kule Egypt Al Sisi anapeleka mswaada Bungeni atawale Mpaka 2030 n.k
Kuna sababu nyingi ambazo zinakifanya CCM iendelee kutawala hata miaka 40 ijayo. Nazo ni kama ifuatavyo.
1. Uoga wa watz. Yaan hawajazoea mambo ya vita na mshike mshike. Tofauti na nchi zingn kam za kiarabu
2. Ubinafsi na njaa. Kila mmoja anajijali na hutamani apate peke yake. Akishapata husahau wengne. Ndo maana utawaona watu kama Kitila Mkumbo, polepole, Mwita, etc
3. Ujinga na umaskini. Hivi vyote vinarandana. Mtu mjinga mara nyingi niaskini. Hatambui haki zake, na mustakabali mzima wa maisha yake. Na hajui chanzo cha matatizo yake. Akiambiwa kua tz bila ccm itakua na vita huamini hivo. Na umaskin hupelekea watu kujipendekeza na kua wasaliti.
4. Unafiki na kujipendekeza. Hii ndo kansa inayotutafuna. Apataye cheo husahau. Na hata wananchi waitwao wanyonge wanaonyesha unafiki wa wazi kwa kuimba ngojera za kusifu nana pia wakiwa ni watu wa kujikomba kwa wakubwa angalau aweze kupata mli na cheo.
5. Matabaka, utengano na udini. Hivi vinashbiana kwa ukaribu. Ukiskia huyu alieko madarakani kama ni dini flan basi atapigiwa makofi wakijinadi kua na sisi tumepata raisi. Huwez pata suppprt na kam ni kura atapta.
6. Ukabila na ukanda. Hii inaelekeana na no 5 ingawa utofauti wake ni pale unaposkia huyu katokea kanda flani na ni kabila flan. So utakuta anapifiwa kura na watu wengi wa kabila lake, regardless yy ni chama chake.
7. Upinzani dhaifu wenye unafiki ndan ake. Juzi CHADEMA wakaitiaha press kwenda kujitetea sakata la gari la CAG badili ya kujadili ubadhilifu uliobainishwa na CAG. Mtazame aliekua mgombea wa ACT 2015 alivokubali matokeo haraka ili apate cheo.
Mambo ni meng mda ni mchache
Hivyo vitu hapo juu vitayafanya madiliko ya kweli yachelewe kwa miongo kadhaa mbele mpaka pale kila mmoja atachoka na kunena kwa lugha moja, na hata pale ambapo mawe nayo yatachoka na kujiunga kwenye unenaji. Hapo mbuyu utaangushwa. Ila sio leo.
Mbowe ni agent wa ccm.
Je ewe bavichaa una uwezo wa kumtoa mbowe?
Heshima kwako!!
Ukombozi hakika unakaribia.
Uliyoyasema ndiyo hasa yanayofanyika nimekua nikijiuliza sana hivi haya watu wanayajua?.
Nimeona sasa watu wameanza kujua ukweli.
Hapo kwenye udini na Ukabila hua ni Janga kubwa sana.
Zito alifukuzwa Chadema kwa sababu ya udini na ukabila Lowasa alipigwa vita kwa sababu ya udini na ukabila.
Lipumba alipingwa kwa sababu ya udini.
Yani Tanzania hatuchagui au kuandaa kwa Sera hasa ndani ya Vyama?
Lakini pia tujiulize tunaitoa CCM na kuweka Chama kipi?
Mana vyote vinaongozwa kidikteta kuliko hata CCM.
Huwezi kuitoa CCM yenye pesa zote za Hazina na dola yote na nafasi zote za kugawa vyeo vyenye maslahi makubwa wakati huo huo tumeshindwa kumtoa kwenye uenyekiti mtu mmoja aliyefeli na kupata sifuri darasa la kumi na NNE anayeitwa Mbowe.
Tungewabadili kwanza Watu kama akina Mbowe kidemokrasia ndipo ingetokea nji sahihi ya kumpata Nabii wa kutuvusha.
Bado tunang'ang'ania kupanda kwa kutumia ngazi fupi isiyofika kwenye tawi la mti wa matunda.
Dawa ni kubadili ngazi na kuweka ngazi nyingine ndefu zaidi.
Bila Demokrasia ndani ya vyama hatutaweza kamwe kufikia Demokrasia ya kweli.
Ndio maana namchukia sana Mbowe mana amejenga mazingira Yale Yale ya CCM ndani ya Chadema na upinzani.
Kwa Sasa Juma Mwalimu anafaa kabisa kukabidhiwa Chama lakini ukabila utamnyima ,Heche anafaa sana lakini ukabila bado upo Chadema ya Mbowe.
Kuna ugumu gani kwa chadema kuweka katiba inayomshughulikia Mwenyekiti yeyote atakayechukua nafasi ya Mbowe kama ataonekana kupwaya?
Woga wa kumtoa Mbowe ndio uliojijenga kwa wananchi na kushinda kuitoa CCM.Wanaogopa vyama vingine.
Ukiangalia kwenye udini lazima ujiulize ,Je,Waislam waliokua wanaisema sana serikali ya CCM kuwa imejaa uonevu na inawaonea Waislam na kutowasikiliza malalamiko yao leo wako wapi?
Au wanasubiri ninic?
Kwa nini wasiendelee na harakati zao kama zilikua na nia njema?
Bila shaka walikua wanatumiwa na watu ndani ya au nje ya CCM ili kutafuta nafasi za kiutawala. Suala halikua ni dini bali madaraka.
Wakati Waislam walipokua wanalalamika Mara kwa Mara Kwa wakristo walisahau kuwa Kuna Tatizo kwenye katiba inayosababisha watu wanalalamika kutokana na watu wote kutegemea kutendewa hisani na Mtu mmoja as if he/ she is a living God anayegawa riziki.
Watu wakafikia mahali wanahesabu idadi ya wateuliwa kwa kuangalia dini badala ya uwezo wa mtu.
Yote hayo ni mifumo mibovu ya Katiba iliyoasisiwa na CCM na kuendelezwa kama Imani.
Kuna madhehebu wanaichukulia CCM kama Chama kilichoanzishwa na manabii na watakatifu toka mbinguni na hakistahili kunyima kura hata kama.
Hawa ni tatizo pia kwenye kuleta mabadiliko na kujenga Taifa la kidemokrasia linaloshindana kwa hoja za kimaendeleo badala ya kutafuta vyeo na maslahi.
upUmechambua vizur sana mkuu. Nakupa heshima ya juu. Nakubaliana na ww kwa mengi uliyobainisha.
Nianze na point yako. Tumtoe CCM tumuweke nani. Kwa kweli kwa Sampuli ya wapinzani tulionao inatupa walakini. Ukiwatazama kwa jicho la ndani utawaona kua hawatetei watz bali mlo. Ndo maana ni wadhaifu wananunulika. Na wanashutumiana wao kwa wao. Mtu ajiitae Yeriko kada mtiifu anawakilisha yaliyomo chumban Chadema siku alivyokua anawaponda ACT kisa ti wamepata wafuasi wengi. Yaani wakachukia kitendo hicho. What a shame Yeriko.
Mbowe.
Mbowe ni Mungu mtu CHADEMA. Hashauriki, hapingwi, hakosoleki. Ukifanya hivo ujue njia ya ya kuondoka Chadema ni nyeupe. Hakika anawafanya Watz wawaone chadema kama Fisi mmwenye njaa kali awezaye kula matumbo yake mwenyewe. Anadaiwa kuteua VITI MAALUMU kwa upendeleo ikihusishwa na ngono. Juzi ulimsikia polepole alivokua anatuma vijembe na yule mama kule bungen alivokua anajitetea. Baadhi ya watu huona bora fisi alie shiba kuliko mwenye njaa alae matumbo yake ( chama chake).
Kiukweli Mbowe sio mtu wa kukabidhi nchi.
Zito na ACT yake.
Huyu ni kijana mzalendo na mwenye kujiamini na mbwiba mkuu kwa serikali. Lakn namuona kama ni mtu ambae ana chuki na wapinzani wenzie (Chadem) kutaka hata kulipiza kisasi. Ndo maana siku za nyuma wapinzan wote walitoka bungen ila yy tu na pia kutojiunga na ukawa ndo ikawafany watz waahisi pengne wengn kuamin kua ACT ni CCM B. Na pia sidhan kama Zitto anaweza achia ngazi cheo chake chaman...yaleyale ya Mbowe
Hii inaondoa jitihada za kuitoa ccm madarakan.
Nini kifanyike?
Twahitaji wapinzani imara, mathubuti na wazalendo wenye kujiamin. Sio hawa tulio nao akina Mbowe, kubenea, etc. Watu ambao ukiamka utataka uskie ni nan ambae ameunga juhudi kwa siku hio. Ni watu wenye njaa kali, asie tabirika. Tumahitaji watu wa aina ya MALEMA wa Africa kusini. Watu wa kujitoa walio tayari kufa kwa ajili ya wengne.
Twahitaji pia watu waamke kuutafta ukweli. Siasa na kila kitu ndo maana mwalimu Nyerere alihimiza sana elimu ya siasa. Mtz wa sasa akiskia unaleta habari za siasa atakuona ni mtu mjanja mjanja mweny kutaka kumuibia. Hii hutokana na wanasiasa tulio nao...jamii inawachukulia kua ni wezi kwa hiyo mwananchi hataki kujihuaisha na siasa.
Udini na ukabila. Hili ndo tatzo kubwa hata suluhisho lake linakua gumu. Na ccm wanajitahid kutumia huu udhaifu kwagawa watz.
All-in-all hatupaswi kukata tamaa. Twahitaj kusimama imara, kuongeza juhudi endapo tu tutapata mtu wa kutuongoza kudai haki zetu zinazoendelea kiporwa na hawa mabeneru weusi wanatuitao wanyonge ilihali wanatung'ata na kututafuna bila huruma.
CCM sio amani acha kupotosha, na tulipo sasa Tanzania amani hakuna tena tumebaki kuvumiliana tu.Amani italindwa kwa gharama zote
Kama umeichoka sogea Burundi au Congo
Tanzania kipaumbele cha kwanza ni amani