Mpevu
JF-Expert Member
- Nov 23, 2010
- 1,805
- 173
usawa na haki hautasimama katika Nchi hii ispokuwa ni mpaka Tanganyika irudi tena!! Ni Tanganyika kwanza halafu mengine yafuate! Welcome back my lovely country Tanganyika!!!!!!
Bravo!
usawa na haki hautasimama katika Nchi hii ispokuwa ni mpaka Tanganyika irudi tena!! Ni Tanganyika kwanza halafu mengine yafuate! Welcome back my lovely country Tanganyika!!!!!!
Ndio sifa ya historia kukukumbusha wapi umetoka upo wapi na pia kuweza kukupa mwelekeo wapi unaweza kuelekea. SIPENDI NENO TANZANIA BARA. Liondoke kabisa kwenye katiba. mnapenda kuwaabudu wazungu mbona wao wanatunza asili yao
Hiv kwann mkisikia Jina Tanganyika mnakimbilia kusema oooooh...hilo jina la Wakoloni.hiyo tanganyika uliiona wapi?
nini asili ya neno tanganyika?
kwa nini ujivunie jina ulilopewa na wakoloni na kudhararu jina ulilopewa na baba zako?
je huamini kuwa dunia ni moja? au kuwa afrika ni moja?
ukitaka kuvunja muungano wa Tanzania na kurudi kwenye mipaka ya carl peters, na wewe tukuite mzalendo?
jamani, dunia na vyote viitazavyo ni mali ya Bwana, hakuna wazanzibari wala wazanzibara, watanganyika wala watanga na nyika, sote tu mali ya Bwana na alitupaa dunia iwe makazi yetu kuanzia alaska mpaka siberia, cape town mpaka ireland. mipaka yote ni man-made tu.
TUKISHINDWA KUIJENGA TANZANIA, HATA TANGANYIKA ITATUSHINDA. mark carefully my words
ubarikiwe
With all respect, Please generalize sold to Arabs be prsicly.to UAE bcoz these sheikhdoms aren't representing all Arabs (thers22 arab nationals and majority are in African continent) if the Emarities lease by legal contracts it is called investment. the serikali is responsible.Ok. there is something wrong with Mr. Lowasa, but there is something behind his political situation. He is not the most corrupt person in this country. There are others, why Lowasa and not Samwel Sitta who sold Loliondo Game reserve to Arabs. I think there is a political trick in the issues behind mr. Lowasa. Please in need your comment.
Ni kweli mkuu, lazima tuwe na kuitambulisha Tanganyika. Nasi tujivunie Tanganyika badala ya kila siku kusikia tambo za Zanzibar tu. We must proud of our Tanganyika statehood.Kwa nini tumeng'ang'ana na Tanzania Bara badala ya Tanganyika? Tanzania Visiwani mbona hatuisikii?
Mkuu,Mnazipinga fikra za zidumu fikra za mwenyekiti wazi wazi,kweli watanganyika wa leo c wa miaka ya 64.
Tuimbe wote sasa,...Tanganyikax2...nakupenda kwa moyo wote!
Nchi yangu Tanganyika,jina lako ni tamu sana,nilalapo nakuota wewe!
niamkapo ni heri Mama weee,....
kaeni tuu msidai tanganyika yenu.. tutawatuma kinoma.. zanzibar tuko kama 2 mills hivi lakini tunawaburuza watu milioni arubaini...dahhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh. yaani sisi tumepoa soon tunajichimbia mimafuta kimpango wetu than ya kwenu tunakula kama kawaida.. tulieni tuu mtaendelea kutufanyia makazi sisi zanzibar tunakula.. katiba inayokuja inaweka wazi namna gani tunakula vya kwetu na vya kwenu kama kawaida sio.. daeni chnu nyinyi watanganyika haraka kabisa la si hivyo kunatafuta vyote.. zazibar kidogo lakini smart kabisa...huku kwetu hapewi mtu kitu but kwenu tunajibebea tuu ma ardhi hayo... dahhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh amka jirani yangu mtanganyika amkaaaaaaaaaaaaaaa...
Huyo mdosi anaitwa Mohamed Iqbal Dar
Kweli mimi pia ni mshabiki wa Tanganyika na sijui ni kitu gani kinafichwa mpaka tume haikulitaja kabisa jina la Tanganyika!Tunataka rikali yetu ya tanmganyika. Kwa nini tume inaficha historia yetu? Kimsingi muungano ni wa nchi mbili zanzibar na taganyika na wala si zanzibar na tanzania bara.We want our tanganyika back!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Kweli mimi pia ni mshabiki wa Tanganyika na sijui ni kitu gani kinafichwa mpaka tume haikulitaja kabisa jina la Tanganyika!
Sababu yangu kuu ya kulishabikia jina la Tanganyika:
-Uhuru ulipiganiwa na kupatikana kwa jina la Tanganyika.
-Jina linabeba "spirit" ya kupigania Uhuru na ukombozi.
Mkuu umenikumbusha juu ya Ahmadiyya, kweli yapasa kabisa Tanganyika irejee. Maana jinsi jina Tanzania lilivyobuniwa...mmh!TAN toka Tanganyika; ZAN toka Zanzibar; I toka jina la mtunga jina Iqbar; A toka kwa dhehebu la mtunga/mtoa jina Ahamadia. Unapotaja TANZANIA hujui kilichofichika ndani yake. Ahsante MUNGU kwa majira na nyakati hizi, our motherland Tanganyika is being resurrected!
RUDI TANGANYIKA RUDI, RUDI NASEMA TENA RUDI!
Tanganyika ni jina tu kama lilivyo Tanzania....bad enough ni jina lilipowewa nchi na wajerumani (Tanga + Nyika) ikiwa na maana baada ya kufika Tanga kuna nyika kubwa tu mpaka ziwani ambalo ndio ziwa Tanganyika....lakini kupanga pia ni kuchagua