Tunaitaka Tanganyika yetu! Wakati ni huu...

Huyo mdosi anaitwa Mohamed Iqbal Dar
Sawa sawa kabisa na naona huyo mdosi na familia yake wanajivuna kwa maana ya kutoa jina la nchi na hata mji wanao (bolded) wakati kwao Bombay wameishabadilisha jina hilo siku nyingi na kuuita mji wao jina la asili-Mumbai.
 
Huyo mdosi anaitwa Mohamed Iqbal Dar

Well said, tena huyo muhindi alisomea Tanga na Morogoro. Ukifika pale msikiti wa Ahmadiyya (DAR) au hata pale Ahmadiyya Morogoro utakuta historians wa ilivyokuwa na kukudadavulia jinsi jina hilo lilivyopatikana na kuhitimishwa.
 
Mimi binafsi sivutiwi na jina la Tanganyika na kama katiba mpya itatambua uwepo wa serikali tatu mimi kwa maoni yangu ni bora sisi wa upande wa Tanzania bara tubaki na jina la Tanzania bara au litafutwe jina lingine.

Ukweli neno "Tanzania bara" does not sound well and it is not appeaing to the senses.

Haya ni mawazo yangu.

Je,wewe mwana JF mwenzangu una maoni gani?

Tunaweza kuanza kutoa maoni kupitia JF ingawa katiba mpya bado haijapatikana ila uwezekano wa serikali tatu ni mkubwa kwa kuangalia mazingira ya sasa na maoni ya walio wengi.
 
Azania???
 
Tanganyika ni jina tu kama lilivyo Tanzania....bad enough ni jina lilipowewa nchi na wajerumani (Tanga + Nyika) ikiwa na maana baada ya kufika Tanga kuna nyika kubwa tu mpaka ziwani ambalo ndio ziwa Tanganyika....lakini kupanga pia ni kuchagua
 
Tunataka rikali yetu ya tanmganyika. Kwa nini tume inaficha historia yetu? Kimsingi muungano ni wa nchi mbili zanzibar na taganyika na wala si zanzibar na tanzania bara.

We want our tanganyika back!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Ndio sifa ya historia kukukumbusha wapi umetoka upo wapi na pia kuweza kukupa mwelekeo wapi unaweza kuelekea. SIPENDI NENO TANZANIA BARA. Liondoke kabisa kwenye katiba. mnapenda kuwaabudu wazungu mbona wao wanatunza asili yao

Tanganyika yetu, Tanzania ni mwungano wa tanganyika na zanzibar. Sisi ni watanganyika bhana! Tunaitaka na kuipenda Tanganyika yetu.
 
Tanganyika yetu, Tanzania ni mwungano wa tanganyika na zanzibar. Sisi ni watanganyika bhana! Tunaitaka na kuipenda Tanganyika yetu.
Well said comrade,
Lazima tuipate kwanza Tanganyika yetu ndipo tuelekee kwa mengineyo.
 
Ndio sifa ya historia kukukumbusha wapi umetoka upo wapi na pia kuweza kukupa mwelekeo wapi unaweza kuelekea. SIPENDI NENO TANZANIA BARA. Liondoke kabisa kwenye katiba. mnapenda kuwaabudu wazungu mbona wao wanatunza asili yao

Hapa tunaihitaji Tanganyika yetu iliyo huru, tujivunie utaifa wetu wa asili.
 
Tunataka rikali yetu ya tanmganyika. Kwa nini tume inaficha historia yetu? Kimsingi muungano ni wa nchi mbili zanzibar na taganyika na wala si zanzibar na tanzania bara.

We want our tanganyika back!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Mkuu,
Tanganyika yetu imenukia, ni furaha ilioje kuja kuishuhudia nchi yetu Tanganyika?

Nakupenda Tanganyika yangu.
 
usawa na haki hautasimama katika Nchi hii ispokuwa ni mpaka Tanganyika irudi tena!! Ni Tanganyika kwanza halafu mengine yafuate! Welcome back my lovely country Tanganyika!!!!!!
 
Naam,

Moshi mweupe unafuka, kuashiria ujio rasmi wa Tanganyika yetu iliyopotea.
Shukran nyingi na zakipekee zimfikie Jaji Warioba na wajumbe wake, ambapo moja ya jambo muhimu kabisa ni kuihuisha Tanganyika iliyopotea.

Ni furaha iliyoje kwangu mie kijana wa Kitanganyika? Hakuna fahari yoyote duniani kama utaifa, yaani nchi yako kamili na asili.

Nitakushukuru maradufu Muumba siku ambayo bendera ya taifa la Tanganyika ikipandishwa, nitawashukuru zaidi Watanganyika wenzangu walioipigania mpaka kuipata Tanganyika yetu tena. Bali nitaishukuru maradufu JF kwa kutupatia sisi wadau uhuru wa kupaza sauti za vilio vyetu na kuhifadhi kumbukumbu, ambapo hii leo yajionyesha.

RUDI Tanganyika RUDI.

Mpevu
 
Back
Top Bottom