Mkuu naomba nielekeze jinsi ya kupost hapa JF
wewe na Msigwa hampishani MNAELEWA NINI"Mkuu hebu angalia hiyo miji mingine kwa umakini
Usiangalie uzuri wa majengo angalia mpangilio wa majengo na barabara zilivyo makini.
Hapo utagundua msigwa amemaanisha nini pia utaelewa mleta mada amemaanisha nini kuweka hizo picha.
Usilete ushabiki kwenye mambo ya msingi na maendeleo ya nchi yetu
wewe na Msigwa hampishani MNAELEWA NINI"
Bora hata ungekuwa Mama Tubaijuka ningekuelewa
Dar una kasoro gani kulimganisha na hiyo miji yako km sio ushabiki KAA kimya
huko Iringa kuna mipango miji ?Buku 7 katika ubora wako
Hata mambo ya msingi unaleta ushabiki maandaz.
Kaz njema
Hujaitendea haki dar umeidhulumu kwenye pichaa