Tunaikubali kauli hii ya mchungaji Msigwa?

Tunaikubali kauli hii ya mchungaji Msigwa?

Perfect watz tunezidi. Angalia viongozi wetu hopeless watu na akili timilifu huwezi kaa ukaweka muswada kuwa SAA mbili kila news media zijiunge na tbc

Halafu watakuja na muswaada mwingine kila gazeti liandike habari kama gazeti la uhuru.
 
Acha kudanganya wanajukwaa,hiyo ni Nairobi,mimi nimesoma Kenya elimu ya awali na upili.

Mimi pia nimesoma Nairobi University, hiyo sio Nairobi. Nairobi wana jengo kama hilo lakini barabara haijakatiza katika jengo
 
Acha ubishi mkuu , hapo nairobi ni jirani yetu huyo, kuthibitisha angalia ukumbi wa jomo kenyatta hilo gholofa lenye duara juu nadhani utakubali mkuu, maana uwo ndio utambulisho wa jiji la nairobi

Tatizo lako hata Nairobi hujawahi kufika! Hapo sio Nairobi wewe...
 
Acha kudanganya wanajukwaa,hiyo ni Nairobi,mimi nimesoma Kenya elimu ya awali na upili.

Hawa ndio Watanzania wenyewe katika ubora wao hata kutazama picha na kutambua ni shida, unaweza hata kuweka picha ya Tembo wakabisha wakasema ni Paka.......HAPO SI NAIROBI PERIOD.
 
Mkuu Tamimusalim,

Mbona mnapenda sana kuwabeba wa-Kenya kuwa ''image'' ya tatu ni jiji la Nairobi, Kenya hiyo image inafanana na jiji la Mumbai, India

attachment.php

Hiyo ni Bombay
 
Tukiongelea kuhusu South Africa. Wasouth makaburu walipata uhuru mwaka 1948 kutoka kwa waingeliza, mwaka 1966 tayali walikua na Train za umeme za mijini miji hiyo ni Jbeg, Cape na Derban.

na mwaka 1994 wanamkabizi Nchi Mandela, ikiwa na barabara za rami, maji na umeme katika kila makazi yalio pimwa Nchi nzima mpaka vijijini. Je 1948 wangekua wamekabiziwa Nchi wakina Mandela, ingekua na maendeleo hayo?

ata kenya yenyewe bila settler economy ingekuwa kama tz
 
Mimi pia nimesoma Nairobi University, hiyo sio Nairobi. Nairobi wana jengo kama hilo lakini barabara haijakatiza katika jengo

labda ulikuwa nairobi ya mwaka 54, hapo ni java na times tower street,nairob flyover kitambo. by the way katika picha zote hizo kwanini mnapatolea macho nairobi?
 
Ni kweli kabisa,ujinga walionao watanzania ni halali kabisa kuishi maisha ya kijinga na kuchagua viongozi wajinga,maana ktk serikali ya mbwa na rais wao lazima awe mbwa.

punguza jazba brother ,ccm ni adui namba moja wa tanzania
 
Sio viongozi wake tu, hata wananchi wake pia. Maana viongozi wote duniani hawawi madarakani kwa bahati mbaya, bali kwa uwezo unaoakisi akili na uwezo wa fikra wa wananchi wao. Kwa hiyo jinsi walivyo viongozi wa mataifa ndivyo na wananchi wao walivyo
Hoja ya Msigwa ina nguvu sana, unaweza kusema wananchi lakini kiongozi maana yake ndiye anayeweza kupenyeza kwenye maelfu hivyo akitumia ujanja ujanja na rushwa kupata uongozi basi na miji itakaa kirushwa rushwa na kijanja janja!

Hebu angalia miji wakati wa awamu ya kwanza, ilikuwa na majengo ya 'kimasikini' lakini yaliyopangiliwa vizuri na kiwango cha juu cha huduma za jamii kama viwanja vya kuchezea (hasa watoto), makaburi, open sapaces, maji na barabara.

Hivi sasa tunaona miji yenye majengo ya kifahari huku kukiwa hakuna barabara, viwanja vya watoto kugeuzwa majengo ya jamaa za viongozi, wakitumia maji ya visima katikati ya mito inayomwaga maji baharini huku kila mmoja akimiliki kasimtank kake!
Kama huo mfano hauna mshiko basi angalia mji wa Moshi au Mbeya hata baada awamu ya kwanza then upime akili za wakazi wa maeneo husika!

 
ata kenya yenyewe bila settler economy ingekuwa kama tz
jamani hizi hoja kweli zina mashiko?mdau nakushauri ukasome kuhusu maendeleo ya hizi nchi,India,China,Singapore,Malaysia,South Korea and even Japan.Hayo mataifa yalipamban yakaendelea na si vinginevyo.
 
Ni kweli kabisa,ujinga walionao watanzania ni halali kabisa kuishi maisha ya kijinga na kuchagua viongozi wajinga,maana ktk serikali ya mbwa na rais wao lazima awe mbwa.
Mmh.... wiseboy, utasalimika kweli na cyber crime law, kwa 'kumtusi' huyo jamaa ambaye inasemekana keshaisaini hiyo sheria?
 
tamimusalim

Tatizo la Mchungaji yeyey ni kupinga tu kilichoko mbele yake, kwani keshaambiwa yeye ni mpinzani
na Member mwenzangu tamimusalim uwe una-Play fair kwani picha za Dar ulizoziweka si zenyewe tafuta picha za kushindanisha za DSM ilivyo shwari kwani ushabiki wako unajionesha wazi km Peter Msigwa
1a246868dcd511e2a9cf22000aaa0a6f_7_zps3e4df992.jpg

5363775300_fb59cc1d63_b.jpg


IMG_8018_zps169b0a11.jpg

484b78fece2911e2950f22000a1ddb60_7.jpg

image1.jpg

image2.jpg

image4.jpg
image3.jpg
 
Last edited by a moderator:
Picha hapo juu sio Nairobi, ni Cairo kama sikosei
huyu Member ana yake kwani ni kweli hiyo picha sio ya Nairobi
images
images


Z


yeye katuwekea hii picha kutudanganyia, ifananefanane na ukweli ingawa siku hizi Nairobi wana Fly-over kn picha sio hii
attachment.php
 
Kwahiyo Iringa mjini inafanana na Mbunge wa pale?

Hapana Iringa mjini na mpangilio wa ule mji inafanana na akili za wabunge wa ccm waliopita. Wao ndio walioplan mji na Msigwa kaukuta umejengwa. Kwa akili na uwezo ulio nao najua utauliza kwanini Msigwa na ukawa wasiupange upya. Nami nitakujibu waachieni uongozi wa nchi.
 
Usilazimishe halo sio Nairobi na hill jengo LA duara sio k.I.c.c.jombaa mbona unaforce kitu kisicho
 
Back
Top Bottom