Tunaikubali kauli hii ya mchungaji Msigwa?

Tunaikubali kauli hii ya mchungaji Msigwa?

tamimusalim

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2014
Posts
1,822
Reaction score
501
Kufuatia kauli hii ya mbunge wa Iinga mjini, Peter Msigwa aliyotoa leo wakati wa kuchangia hotuba ya wizara ya ujenzi kuwa "Muonekano wa miji mingi duniani kunafanana kabisa na akili na fikra za viongozi wake?"

Tazama miji hii
;
ImageUploadedByJamiiForums1432722649.839533.jpg . New york - Marekani
ImageUploadedByJamiiForums1432722716.788305.jpg Hapo Tokyo - Japan
ImageUploadedByJamiiForums1432722792.471647.jpg Hapo - Pretoria- South africa
ImageUploadedByJamiiForums1432722897.137847.jpg Hapo - Nairobi - Kenya
ImageUploadedByJamiiForums1432722957.372082.jpg Hapo ni Dar es Salaam- Tanzania
ImageUploadedByJamiiForums1432723010.538099.jpg Dar es Salaam- Tanzania
 
kanukuu maneno ya bother kwamba capetown haijazuka kama uyoga ila kwa fikra yakinifu za watawala

dar ziii rooo
 
Sio viongozi wake tu, hata wananchi wake pia. Maana viongozi wote duniani hawawi madarakani kwa bahati mbaya, bali kwa uwezo unaoakisi akili na uwezo wa fikra wa wananchi wao. Kwa hiyo jinsi walivyo viongozi wa mataifa ndivyo na wananchi wao walivyo
 
Hamna kitu wote mmekosa hapo ni ngaramtoni arusha ukiangalia vizuri utaniona navuka barabara..!!
 
Sio viongozi wake tu, hata wananchi wake pia. Maana viongozi wote duniani hawawi madarakani kwa bahati mbaya, bali kwa uwezo unaoakisi akili na uwezo wa fikra wa wananchi wao. Kwa hiyo jinsi walivyo viongozi wa mataifa ndivyo na wananchi wao walivyo

Umenena neno aisee
 
Kumbe hujui kuwa wana kuiweka wenyewe. Wanatumia polisi , wanaiba kura na kufanya kila aina ya ghiriba ili kuingia na kubaki madarakani.
 
tamimusalim

Hii ya Dsm ni noma kama tumetoka Motoni tunakwenda duniani....hii aibu sijui nijifiche wapi,Ubabaishaji mwengi kila mtu mjuani mambo hayaendi wenzetu wanakwenda mbele sisi tunazid kurud nyuma tena kwa speed kali kuliko hata speed ya kutafuta maendeleo
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom