Tunaikubali kauli hii ya mchungaji Msigwa?

Tunaikubali kauli hii ya mchungaji Msigwa?

Ok sawa inaakisi wananch ila kiongoz ndio mwenye funguo zote, ndio maana dicteta mmoja anaweza kusema amri moja na watu wakafuata watake wasitake
 
Ukwaju
Naona maneno ya Msigwa yamekushika pabaya
Viva CHADEMA
ww sio size yangu maana mm sizungumzii na Siasa na vitoto vya BAVICHA mawazo yao ni kushika Nchi wakidhania njugu
Member huyu kakujibu
acha uvivu wa kufikiria km mchungaji aliyeacha kanisa akaamua kuingia kwenye siasa alafu
anaongea uongo, kwa taarifa yako sio
kila kitu kinajegwa na serikali ktk nchi ulizotaja kuna watu wanaitwa property/estate developers ss kwa hali iyo Tanzania tunao watu wangapi kama hao.
UPINZANI TANZANIA NI KUPINGA KILA KITU BILA KUWA NA SULUHISHO MBADALA NI U-NDEZI NAOMBENI WAKATI MWINGINE MJE NA MAWAZO MBADALA SIO KUPONDA KILA KITU.. Ms..ngwa my asssssssssss
 
Haya sasa hii ni sehemu ya mitaaa masikini uko kenya vp unalinganisha na hapa tanzania, jamani tukubali tu sisi tunarudi nyuma wenzentu wanasonga mbele

Hii kenya
View attachment 255695

Na hapa ni daresalaamView attachment 255696

Haya niambie wanaolalamika sijatendea haki, mbona hata picha hii ya kenya wametupita mbali tu jamani, tuache ushabiki

sasa wewe unaweka picha ya ubungo ndiyo Dar? kuna maeneo mazuri sana hapo dar. na hata huko Nairobi kuna maeneo mabovu sana. ndiyo maana unaambiwa weka picha zuri za dar
 
sasa wewe unaweka picha ya ubungo ndiyo Dar? kuna maeneo mazuri sana hapo dar. na hata huko Nairobi kuna maeneo mabovu sana. ndiyo maana unaambiwa weka picha zuri za dar

mi maisha yangu yako hapa hapa Dar, wapi hapo hebu nitajie niende sasa hivi..! Tena wahi niko hapa Tandale kwa Tumbo
 
Back
Top Bottom