Butho Mtenzi
JF-Expert Member
- Feb 26, 2011
- 331
- 22
sio viongozi wake tu, hata wananchi wake pia. Maana viongozi wote duniani hawawi madarakani kwa bahati mbaya, bali kwa uwezo unaoakisi akili na uwezo wa fikra wa wananchi wao. Kwa hiyo jinsi walivyo viongozi wa mataifa ndivyo na wananchi wao walivyo
dah ukweli mchungu ila well said